Hata Vietnam katuzidi

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,398
Screenshot_20240123-185408.jpg
Screenshot_20240123-185723.jpg
Screenshot_20240123-185346.jpg
Screenshot_20240123-185754.jpg

Africa kuna matatizo. Tena makubwa. Uchumi wa Vietnam ni mkubwa kuliko wa taifa lolote Africa. Wa Vietnam walikuwa kwenye Vita wee miaka ya sitini na sabini lakini sasahivi uchumi wao umepaa.
Africa tujitafakali. Angalia jiji la Hanoi, hakuna jiji kama hilo Africa. Hakuna cha Cairo, Lagos, Kinshasa, Johannesburg, Cape Town, Luanda, Nairobi, yote takataka

Jiji la HANOI linatisha. Kweli Asia wameamua
 
View attachment 2880787View attachment 2880788View attachment 2880789View attachment 2880790
Africa kuna matatizo. Tena makubwa. Uchumi wa Vietnam ni mkubwa kuliko wa taifa lolote Africa. Wa Vietnam walikuwa kwenye Vita wee miaka ya sitini na sabini lakini sasahivi uchumi wao umepaa.
Africa tujitafakali. Angalia jiji la Hanoi, hakuna jiji kama hilo Africa. Hakuna cha Cairo, Lagos, Kinshasa, Johannesburg, Cape Town, Luanda, Nairobi, yote takataka

Jiji la HANOI linatisha. Kweli Asia wameamua
uko sahihi, angalia bangkok
 
Mkuu, maendeleo yanaletwa zaidi na mentality,
Mentality ya viongozi wa Africa na hata watu wake baada ya uhuru hayakuwa kupata utajiri wa kufuru, waliridhika na misaada ya UN, hawakuweka plan za muda mrefu,

SK, Vietnam na hata china toka zamani viongozi na wananchi wote walikuwa na mentality ya kutengeneza utajiri wa kutisha
 
Viatel Africa wanamiliki mitandao ya mawasiliano kama halotel na Viatel.
nchi za asia zinazidi kuzipiga gape kubwa nchi za Africa wakati miaka ya nyuma tulikua nao 50/50.
 
Angalia tu Tanesco Haina mshindani lakini bado inafail, inaona kutupa umeme wa uhakika 24*7*365 ni anasa kwetu utafikiri tunapewa bure na wao hawaingizi kitu.

Angalia ttcl soko lililowashinda wezao wamekufa na kupiga bingo vibaya.

Angalia dawasco maji safi na taka yanavyo vuja ovyo utafikiri hawapotezi pesa.

Angalia mifumo yetu ya kukusanya taka, kaa na taka zako mwezi mzima uzalishe panya, mende na magonjwa mengine utafikiri Taki si Mali.

Shidah tupu.
 
Hizi vyama vyenu vya akina CCM zinazoongozwa kipumbavu ndiyo chanzo hakuna kingine...yaani mtu alipi kodi kisa ni kiongozi ndani ya chama si uhayawani huo.
Ukifanya jambo la kusimamia msingi wa kazi yako kuhusiana na makosa ilifanywa na kuongozi wa CCM kesho unashushwa au kutolewa na kupelekwa sehemu nyingine kabisa ....Sasa huo si upumbavu?
Kiongozi anakaa kuongoza watu vibaya namna gani anaachwa tu kisa ni mwanachama wa CCM...
UPUMBAVU NI MKUBWA SANA NCHI HII.
 
Mimi na wewe Uliandika Hii thread na sisi tuliochangia ni Wapumbavu, Wajinga, maskini wa mali pamoja na fikra.
 
Sisi mpk leo sababu yetu ya umasikini vita ya kagera lakini hao jamaa wamepgana vita mbaya zaidi na wametupita inafikia kipindi mimi mtu akiandika habari kuhusu sijui waziri hata kuangalia siangaliii unajua maneno tu utekelezaji 0
 
Angalia tu Tanesco Haina mshindani lakini bado inafail, inaona kutupa umeme wa uhakika 24*7*365 ni anasa kwetu utafikiri tunapewa bure na wao hawaingizi kitu.

Angalia ttcl soko lililowashinda wezao wamekufa na kupiga bingo vibaya.

Angalia dawasco maji safi na taka yanavyo vuja ovyo utafikiri hawapotezi pesa.

Angalia mifumo yetu ya kukusanya taka, kaa na taka zako mwezi mzima uzalishe panya, mende na magonjwa mengine utafikiri Taki si Mali.

Shidah tupu.
Hapo kwenye taka ni hatari, unakaa na taka hujui uzipeleke wapi!
 
Kwakuwa niliwahi PATA elimu ya kutaja viumbe Kwa majina ya kitaalam Kuna nyakati wazoa taka hawakuja Kwa muda nikakuta new species zimetenezwa na ndipo nikajaribu kumtoa mdudu mmoja Ili nimchunguze akadinda yaani alikataa basi
nikambatiza scientific name kama Restricteda rumbwegesiensis subspecie saprolite.
 
Tumeshindwa mipango miji ndo tutaweza mambo ya uchumi kweli wakuu.

Kuna muda ni bora mkoloni Mweupe arudi Afrika kutawala.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom