hata mimi nimewahi kuwasikia ila sijajua wao wamewapa nini?Hii kauli si ngeni, wanawake wengi nimewasikia wakilalama
kwa msemo huu...
Naomba wenyewe wajibu....
Hivi kwani wanawapa nini wanaume?? Tujadili
huo msemo umebeba mambo mengi sana............kwa wanawake wataelewa what I mean
Kwahiyo Mbwa ukishamjua jina hakupi shida? sasa mbona wenzio wanalalamika eti hawaridhiki hata uwape kitu gani? sasa swali ni hivi,Mnawapa nn ili wenyewe wawaambie shida ni hapa ili waridhike?Kweli mwanaume haridhiki hata umpe nini hawezi kutosheka,,,,,,,,,
But ukimpatia na kumjulia hakupi shida............. atazunguka kote mwisho wa siku lazima arudi!""!"
Upendo sio muhimu kwetu wanaume.tunawapa upendo wa dhati ila hamridhiki.
Valentina umekosea my dada!!! Kwani tafsiri ya mapenzi ya dhati nin nini? Uzuri wa mwanamke ni nini? Ukishajua hayo utaelewa nikwanini hawaridhiki. Mwanamke unaweza kuwa mzuri saaaana na mapenzi ya dhati ukawa nayo ila kama mdomo wako hauna speed governor kwa mumeo, majirani na ndugu zake bado utaona haridhiki tu!!!! Think out then angalia kama hataridhika. Huwezi nipenda halafu mama yangu unamvutia mdomo nikaridhika. haiwezekani.Wengi wao hawaridhiki,hata umpe mapenzi yote utajuayo,uwe mzuri ndani na nje still hawataridhika kutulia na mwanamke m1,wana kamsemo kao et "huwezi kula maharage kila siku" waridhikao ni wachache mno. Wengi ni vururuvuru tu