Unajua ata ukifa siku unayozikwa wanataja cheo cha marehemu,jamani kuna mda unakata tamaa na izi fani zisizo na ajira nasomea uhasibu diploma saizi naenda kumaliza semester ya mwisho lakini kutwa nzima nawaza nikimaliza naenda wapi,lakini kuna mda najiliwaza nasema natoa upumbavu,hapa nimepewa ada nawaza kama nizirudishe ivi nisimalizie semester,lakini nawaza tena mbona nishammaliza ng'ombe mzima umebaki mkia bora nipate cheti labda litatokea zari.Ajira!! Ajira!! Uko wapi Ajira,nikiwaza CPA miaka mitatu bora niende degree lakini wapi akili imechoka na kukata tamaa kusoma course isiyo ya ajira!!!!