Hata sura simjui, ananiomba hela


Hahahahha popo huyo acha akuchune
 
v
hivi vidada njaa ndio inavisumbua vinajitahidi kuweka picha nzuri katika profile zao, ukitaka kujua sio za kwao mwambie muwasiliane FB atumie webcam, skype atazingua tu, kuna kamoja kanaitwa Kwela kamchape kaliniletea hako ka mchezo
 
kuna jamaa anajifanya binti anaitwa nasma fb ana picha moja tu alitaka kunilia hela yangu hivyo hivyo anaomba vijipesa vidogo nikamshitukia timeline yake ana picha moja tu habadilishi.
 
Nyinyi vipi? Mpira wa kona, hakuna mchezaji hata mmoja ndani ya box? Dogo kokota mpira Kama Ronaldo au wewe punga? 😳😳😳
 
Mtumie pesa bana sura si utaiona tu kwani inahama
afu huyo anaepiga mzinga wa buku 5 ni form one au?
 
Tukueleweje wewe?Ulijuaje ni mzuri?Hebu rejea nukuu kutoka kwako.The boss hebu nisaidie kupitia majibu kwa uyu jamaa

Kichwa cha bhabari ...Hata sura simjui ananiomba hela alafu unatuletea swaga eti...
Kiukweli ni mzuri sana! nimfanyaje?
[/QUOTE]
 
Tukueleweje wewe?Ulijuaje ni mzuri?Hebu rejea nukuu kutoka kwako.The boss hebu nisaidie kupitia majibu kwa uyu jamaa

Kichwa cha bhabari ...Hata sura simjui ananiomba hela alafu unatuletea swaga eti...
Kiukweli ni mzuri sana! nimfanyaje?
[/QUOTE]

picha yake moja aliyoweka facebook ndio nzuuri but sijamuona live!
 
Ushasema at kwa sura humjui ila unamaliza kwa kusema, kiukweli ni mzuri sana!! Kwa mtindo huo itabidi tu ukatwe maana hakuna namna..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…