Hata sijui nimjibuje.....................?

Pauline kwani wewe unapenda nini mwenzetu?
Chochote anachoweza kuafford like perfume ,Apple ,chocolate zawadi ni zawadi
 
Mara hii umeshapata maana ulikuwa upo kwenye mawindo ....mbona imekuwa mapema sana ..........Tunasubiri yetu hapa nilikuwa napita tu
'Hi sweety whats up!!!!!!! wanted to buy you somethin but was afraid if ya wud like it???????...what should i buy you??.............message ndio imesema hivyo,..............nimeshindwa kujua nataka aninunulie nini?.................wadada ni nini mngependa mkaka akununulie.....???wakaka nitawauliza next time!:brick::painkiller:
 
Mara hii umeshapata maana ulikuwa upo kwenye mawindo ....mbona imekuwa mapema sana ..........Tunasubiri yetu hapa nilikuwa napita tu

Bado niko kny mchakato,ulitaka kuwa mgombea nini Zipu?:teeth::hungry::hungry::hungry::redfaces:
 
Thanks......ningependa zawadi ninayotaja imu-exite na yeye kununua....i mean i sound kimahaba pia,ila ndio nimekosa nimeshindwa kujua nimwambie aninulie nini?............nisaidie plzzzzzz:embarrassed:

CHUPI NA BRA.....Tena pea zaidi ya moja! It will excite him akikuona umezivaa
 
Ndio nini??tufafanulie....mie nakaa huku mpwapwa!:embarrassed:

Thanks kwa kunipa mawazo lol,...ningependa ice cream ila na hizi foleni zetu mpk afike si itakuwa imeyeyuka yote hahaha:redfaces:

Ukiwa muongo usiwe mwepesi wa kusahau, Mpwapwa nako kuna foleni siku hizi? I dought hata kama kuan ICE CREAM.....!
 
kakwambai sio mkewe? Mbona meseji inasema sweety? Halafu kama siyo mkewe hiyo ndiyo chance ya kumchakachua sasa, there is no free lunch in this world!

acha mbwembwe masaki, kuwa sweety haina maana ni mkeo. Mbona unakimbilia kuchakachua?? Angalia usije chakachuliwa.
 
Back
Top Bottom