Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
Hahahahahah! Dah popote alipo FirstLady na akuje huku aokoe hii mkuu Ruhazwe lol!wakubwaLeo najisikia kuwa na wivu sana hata sielewi ni wivu wa nini!......najisikia kuwa sehemu tulivu sana,sitaki mauzi labda yawe mauzi kutoka kwa charminglady , sitaki kuchekeshwa labda kutoka kwa Junior .Cux ,Sitaki Tabasamu wala kutoka kwa @Cucico ningependa nisionane na mtu labda nionane na @FistLady tuSijui kwa nini hali hii inanitesa sana si kawaida
me nipo,ndo unatoka tunduni nini? alokuficha kakupatia kweli lolest,yan umetoka na sura nzito ka uji. . .
mhh.............pole
Huwezi kuniangukia wala kuniambukiza niko ndani ya mikono salama na ulinzi thaboti wa mme wangu papa Rejao lol!angalia nisikuangukie maana unalichekea jiwe,....kaa mbali dada yangu leo hata sijielewi nisije nikakuambukiza bure
ndo nataka nikuudhi, huko ulikofichwa umetoka salama kweli? hawajakung'oa kucha na meno bila ganzi?
Khaaaaaaaaaaa!Tiba zangu zinamtosha mme wangu Rejao tu ambae ndie pekee anazimudu dozi zangu lol!Maumivu yakizidi muone Cantalisia.
Maumivu yakizidi muone Cantalisia.
no comment
Kongosho cam ths way plz, ukakague usalama wa Ruhazwe JR
ndo nataka nikuudhi, huko ulikofichwa umetoka salama kweli? hawajakung'oa kucha na meno bila ganzi?
bora yako