Hata siamini kama nimenasa

Hawa ndiyo wadada wa moto mmoja hata hupati shida kamata kama kuku hakuna haja ya kutongoza kazi kweli.
 
Kasinde, kuna kitu at the back of my mind kinaniambia kwamba hii stori yako
ni ya kutunga. Ingekuwa ni ya kweli, kuna vitu ulipaswa kuvizungumzia. Vitu hivyo ni:
1. Jinsi ulivyopata visa ya kwenda Marekani.
Sote tunafahamu kwamba kwenda Marekani si sawa na kwenda Lushoto.
Unapaswa kupata visa kwenda Marekani na kazi hiyo ya kupata visa ni
process moja kali ambayo usingeacha kuisimulia kwa jinsi inavyosumbua!
Lakini wewe ulianza tu na movie yako ya eti uko Dubai njiani kuelekea
Marekani. Jaribu kuni-convince hapa.
2. Hata kama ulipata hiyo visa kiurahisi ukafika Marekani, maisha yako ya
mahusiano usungeyasimulia kwa uwazi hivyo. Mambo ya Sean umeyabuni
tu kufurahisha/kuwasisimua wanaMMU.
Ndivyo ninavyoamini.
Sorry for being a doubting Thomas!
 
Last edited by a moderator:

Inaonyesha kasinde ni mpenzi sana wa NGONO.

Iweje ujiandaee kias hicho?????

Je, ulijua kuwa huo mchezo utafanyika katika safari yako USA??? au ndio kilichokupeleka huko!!!!
 
Huko wenzio wanaishi kwa bajeti;
Usije ukapeleka mapishi ya kule kwetu unyakyusani,
ukawatia watu hasara, ukaonekana siyo mwanamke bora.
 
Mkuu ulipika dagaa wa kigoma au? Na unga je ulikuwa umechanganywa na udaga?
 
Hapo sichepuki aloo... niko kwenye learning process tu. Nataka nijifunze kamasutra zinaonjaje nazo. Bibi ashanipa permit ya kujifunza bana especially nikiwa away from home, ili nikirudi niwe na maujanja mapya kwake...

oooh i seee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…