Hata nimfumanie kitandani kwangu sitamuacha kamwe..........

Hata nimfumanie kitandani kwangu sitamuacha kamwe..........

Ni safari ndefu yenye milima na mabonde...........safari iliyokua ya kiu kali na machungu mengi.Tabasamu lako la kila siku asubuhi ndio chachu na nguvu ya maisha yetu. Hata ndugu zetu wa damu walipotusaliti ulisimama pembeni yangu kunipa matumaini...........nakumbuka nilipokukimbia ulinitafuta na kujumuika na mimi mafichoni,uliniambia unanipenda na huwezi kuniacha hata kama naishi shimoni,....................ulipobeba ujauzito wa Junior nilikuambia tutoe.........ulilia sana, nilienda kununua majani ya chai mengi nikabandika jikoni ili unywe........nakumbuka kwa tabasamu lilojaa machozi uliniambia ule ndio ulikua mwanzo na mwanga wa maisha yetu..................siwezi kuandika yote maana machozi yatanitoka.............Mke wangu wewe ni kila kitu kwangu na naomba kifo ndio kitutenganishe. Narudia tena Hata nikufumanie sasa ivi sitakuacha kamwe. Hii pia ni kwa ajili ya wanawake wote mnaoumizwa kwa matusi,dharau na kejeli hapa JF..........Nawapenda wote.

Kweli huyo ndie mke mwema kutoka kwa bwana. Mungu ambariki
 
i wish ningepata mke kama wako...huna shemeji ukaniunganisha nae kaka?
 
fumania uone utavochura.. unajua maumivu ya kuliwa mzigo huku unashuhudia, bora uhadithiwe
 
Ni safari ndefu yenye milima na mabonde...........safari iliyokua ya kiu kali na machungu mengi.Tabasamu lako la kila siku asubuhi ndio chachu na nguvu ya maisha yetu. Hata ndugu zetu wa damu walipotusaliti ulisimama pembeni yangu kunipa matumaini...........nakumbuka nilipokukimbia ulinitafuta na kujumuika na mimi mafichoni,uliniambia unanipenda na huwezi kuniacha hata kama naishi shimoni,....................ulipobeba ujauzito wa Junior nilikuambia tutoe.........ulilia sana, nilienda kununua majani ya chai mengi nikabandika jikoni ili unywe........nakumbuka kwa tabasamu lilojaa machozi uliniambia ule ndio ulikua mwanzo na mwanga wa maisha yetu..................siwezi kuandika yote maana machozi yatanitoka.............Mke wangu wewe ni kila kitu kwangu na naomba kifo ndio kitutenganishe. Narudia tena Hata nikufumanie sasa ivi sitakuacha kamwe. Hii pia ni kwa ajili ya wanawake wote mnaoumizwa kwa matusi,dharau na kejeli hapa JF..........Nawapenda wote.

You seems to have a good wife, I love your attitude towards women! kumlipa mema anayotenda kwako, don't hurt her. That's is the best you can do for the rest of your joint lives na ujitahidi usije create gap moyoni mwake ambalo litapelekea yeye kujishawishi kukusaliti, muombe pia Mungu akusaidie katika kutimiza nia ya moyo wako ikiwa ni pamoja na ishu ya usaliti kwa bed..,,
 
Ni kweli mkuu.......tuna miaka mingi sana kwenye ndoa.....tumebarikiwa watoto pia......ni zaidi ya mke....na zaidi ya rafiki pia.
Vipi feelings za mdada wa JF beach zimepotea?
 
Hongera sana,Mungu azidi kuwabariki,cha muhimu endelea kuwa mwaminifu kwake.
 
Kama kweli unampenda lazima uchukie kufuma niya siyo kitu raisi kama unavosema hayaja kukuta ndiyo mana
 
Good kijana, hapana kuacha mke hata kama umemfumania na mtu mwingine tena kitandani kwako mwenyewe!! Moyo wa kishujaa. Big up
 
Siwezi kwa kweli.......mbona nyie mnatuvumilia sana..........kama ni K nimeshaona za rangi zote,........happiness niliyonayo ni mke wangu siwezi kumpoteza kisa ka.to.bwa na jamaa mwingine.......mfano nikishamuacha inamaana nitakaokua nawagonga watakua hawa.to..mbwi na wengine. Unajua mkiishi miaka mingi kwenye ndoa mnajifunza mengi na mnakua mmekomaa vyakutosha.

sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom