shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,339
usifanye utani hii ni ishu siriasi shauriimbaya hilo jambo hata mi linanipa shida nilikuwa nawaza kuoa graduate lakini baada ya kuishi chuo naona mwanamke ni mwanamke. saizi yeyote ntaeona ananifaa awe wa chuo, std 7, banker au mamantilie mi ntaoa tu.daaah! King'asti miss strong mke anatafutwa huku
you are not special hadi ukose wa kuoa we wa kawaida kabisa tenaHabari
wadau..
Hili ndilo swali linalosumbua vijana wengi sana Duniani nikiwemo mimi..
Kama akili yako hili swali linazunguka sana na limekugusa na wewe kila
kukicha unajiuliza hili swali unakaribishwa kijiweni tushauriane cha
kufanya
Habari wadau..
Hili ndilo swali linalosumbua vijana wengi sana Duniani nikiwemo mimi..
Kama akili yako hili swali linazunguka sana na limekugusa na wewe kila kukicha unajiuliza hili swali unakaribishwa kijiweni tushauriane cha kufanya
teh jf lazma ufurahutaoa mwanamke mkuu...kwani wewe ulikuwa na mpango wa kufunga ndoa na kiumbe gani kingine?
usifanye utani hii ni ishu siriasi shauriimbaya hilo jambo hata mi linanipa shida nilikuwa nawaza kuoa graduate lakini baada ya kuishi chuo naona mwanamke ni mwanamke. saizi yeyote ntaeona ananifaa awe wa chuo, std 7, banker au mamantilie mi ntaoa tu.
Hujawa tyari kuoa, ukiwa tayri kuoa utamjua tu
utaoa mwanamke mkuu...kwani wewe ulikuwa na mpango wa kufunga ndoa na kiumbe gani kingine?