Hata nikifa leo nimeishafika Nairobi

Hata nikifa leo nimeishafika Nairobi

Umefika NAIROBI tu umeanzisha thread je ungefika KENYA si ungetunga kitabu!?
 
Bila shaka wale chokoraa wasumbufu uliwaona pale mjini mjini mitaa ya Moi Avenue ukakumbuka kwamba Dsm kwa chokoraa afadhali.
 
pwani si kenya

nairobi kuzuri saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
 
Back
Top Bottom