Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Kwa mara ya kwanza jana nimerudi kutoka Nairobi Kenya, nilikuwa sijawahi kusafiri nilikuwa napasikia tu kuzuri sana kuna maghorofa mengi sijui Shinyanga yetu itaifikia lini Nairobi, hata nikifa leo nimeishafika Nairobi.