Hata Mungu hakumuamini mwanamke kumpa uongozi

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,874
Reaction score
8,290
Kwa kweli Mimi hata mwanamke akiwa na sifa simchagui sababu za kufanya hivyo ninazo.

Mwanamke hakuumbwa kuongoza kama ingekuwa hivyo pale Eden angeanza Eva lakini alianza Adam kuthibitisha hilo subiri muone Marekani wale hawataki mihemuko.

Mwanaume anafikiri ndipo anaamua.

Mwanamke anahisi ndipo anaamua.
 
vipi kule kwa malkia wa uingereza mbona kuna maendeleo kushinda huku kwa akina sisi
 
Kwa kweli Mimi hata mwanamke akiwa na sifa simchagui sababu za kufanya hivyo ninazo.

Mwanamke hakuumbwa kuongoza kama ingekuwa hivyo pale Eden angeanza Eva lakini alianza Adam kuthibitisha hilo subiri muone Marekani wale hawataki mihemuko.

Mwanaume anafikiri ndipo anaamua.

Mwanamke anahisi ndipo anaamua.
Kuna tuhuma ambazo Kanisa linajitahidi sana kukanusha ya kwamba Yesu Kristu aliliacha Kanisa lake chini ya Mwanamama Shupavu Maria Magdalena kabla hajapinduliwa na akina Petro! 😎😎😎😎
 
Wewe ulielelewa na singo maza mpaka ukanunua smart phone
 
Nafufua hili bandiko langu Kwa maslahi mapana ya Tanzania nadhani mmejionea wenyewe na kujifunza kutoka Marekani
 
Kwa kweli Mimi hata mwanamke akiwa na sifa simchagui sababu za kufanya hivyo ninazo.

Mwanamke hakuumbwa kuongoza kama ingekuwa hivyo pale Eden angeanza Eva lakini alianza Adam kuthibitisha hilo subiri muone Marekani wale hawataki mihemuko.

Mwanaume anafikiri ndipo anaamua.

Mwanamke anahisi ndipo anaamua.
Mugabe alisema sio Tu ni Mwanamke tumpe usawa NK , lakini lazima tujue nyuma au huyu Mwanamke ana uwezo Gani.
 
Back
Top Bottom