Usikimbilie wanawake wenye sura nzuri na maumbo ya kuvutia, mara nyingi hao si wake wazuri. Wanatumia uzuri wao kama chanzo cha mapato. Tafuta mwanamke wa kawaida, utaambulia bonge la mke trust me. Experience is the best teacher.
kwahiyo mkeo mbaya?
Usikimbilie wanawake wenye sura nzuri na maumbo ya kuvutia, mara nyingi hao si wake wazuri. Wanatumia uzuri wao kama chanzo cha mapato. Tafuta mwanamke wa kawaida, utaambulia bonge la mke trust me. Experience is the best teacher.
Haaki ya nani.............
Af wew...ya Chocs
Waisome wanawake wote walionikataa kisa mi muuza ndizi.
Kinachowaponza ni kuwa huwa wanatafuta wa kupiga nao pichaWasichana wengi siku hizi
wanaumia kwa sababu
they always looking for
handsome guys wa ku date
nao, kuzaa nao na hata
kuolewa nao. Mnadhani maisha yanaishia
kwenye picha za harusi jinsi
mlivyopendeza, au frame za
picha za photopshop
mlizopiga pamoja na
mkatokeleza kinoma. Na wengine wanawaza
kwamba mtoto atakae zaa
lazima azae na mtu fulani
good looking ili mtoto
asitoke na sura kama la
mjomba. Bad News ni kwamba most
handsome guys are not
handsome in their heart as
they are.
Matokeo yake sasaaa . . . .
Mabint husema wanaume wote ni waongo
Eti hata wanaume wa kuoa
nao wameisha
Huishia mikononi mwa
vibopa kwa mikataba
maalum ya mshiko na Blackberry
Usichana wake
ukishachezewa na
kuchakazwa vya kutosha
mpaka hatamaniki ndo
anatafuta sura mbaya kama mimi ndo nimuoe
(Ongezea mengine)
#Bofya LIKE kama
umeipenda. Kama umenuna
unlike tu na wala usicomment pita tu, Lakin mi ntaendelea kusema
tu.
~bampami~
beeeeeeh