Hata mninunie nitasema ukweli tu! Ili Mbadilike

Hata mninunie nitasema ukweli tu! Ili Mbadilike

Tena most of them ni Handsome liers. they just hit and run....lol
 
Usikimbilie wanawake wenye sura nzuri na maumbo ya kuvutia, mara nyingi hao si wake wazuri. Wanatumia uzuri wao kama chanzo cha mapato. Tafuta mwanamke wa kawaida, utaambulia bonge la mke trust me. Experience is the best teacher.
 
acha uongo wewe htak tupendwe! Acha m2 apende atakacho
 
Vyovyote Mkuu lazima mtazamo binafsi utaaply, ila tunachojaribu kufanya hapa ni kuuchagiza huo mtazamo uwe wa mapana zaidi.
(Kumbuka mtu mzima huwa haambiwi nini cha kufanya, ina unatakiwa uamshe kiu ndani yake ya kufanya, naye atafanya kwa kiwango cha juu sana - never tell a man what to do, just make him want to do it)

 
Usikimbilie wanawake wenye sura nzuri na maumbo ya kuvutia, mara nyingi hao si wake wazuri. Wanatumia uzuri wao kama chanzo cha mapato. Tafuta mwanamke wa kawaida, utaambulia bonge la mke trust me. Experience is the best teacher.
Thank you 4 a gud advice.
 
Jamani hii ni kweli kabisa wenye mi sura ya kazi huwa wanyenyekevu
wanadekeza
wapiga kazi i mean hulali njaa
wanafikisha kileleni
ni waoaji
wasikivu kwa maana wanaogopa kukupoteza
FARAJA YA MWANAMKE MREMBO AKIJIKITA KWA HAWA WANAUME MASURA YA KAZI.
 
Aisee....uhandsome pia una nafasi yake jamani. Kama vile mnavyotuchagua na sisi pia tuna haki ileile. Sitaki niolewe na mtu nikiamka usiku napiga makelele...kama nimekabwa na jinamizi. Hiyo inakuwa ni karaha pia

Nasemaje...looks ina pia sehemu yake, sio tu kwenye sura hata kujiweka katika hali ya kupendeza, kuanzia mavazi, size ya mwili
 
Kwa mtazamo wangu, mi naona wadada wengi kitu cha kwanza kabisa hutazama kipato cha mwanaume, ndo maana unawasikia shost Preta anabahati kampata mwanaume mweenye pesa balaa! mambo ya elimu, uhandsome ni subjective, maana kuna wadada wengine familia zao wako fresh kwake anaangalia mume educated na handsome kwake pesa sio tatizo, mwengine wanaangalia sura kwa ajili ya kuosha nae mtaani kwa mashost zake, all in all wadada wengi kitu pesa mwanangu asikuambie mtu, sisi ambao ni mahandsome tumetokea huko posho kwa mbinde na tv ni kwa jiran, uwiiiiiiiiiiiiiii.
 
Back
Top Bottom