Sio lazima mtu kukubali uteuzi wa Rais na tena sio dharau kama mnavyotaka watu waamini!Rais hawezi kumfanya chochote na wala hana mamlaka ndani ya CWT na akimgusa waalimu wote wanaweza kuandamana.Kwani lazima kukubali teuzi? Hao polisi wajinga wanadhani kila mtu ni mwoga wa bosi wao kwakuwa wao wako choni ya Rais!
Huko nyuma iliwahi kutokea wakati Rais wa wakati huo alipomteua marehemu Dr. Martha Mvungi kuwa katibu mkuu wa wizara ya Afya nae akakataa uteuzi na hakufanywa lolote.
Mamlaka za uteuzi inafaa zipate ridhaa ya inaotaka kuwateua kabla ya kuwatangaza.
