Hata mimi nataka mti maua pelekea nyuki

Hata mimi nataka mti maua pelekea nyuki

a we haraka ya nini hebu nifikirie we si umesema hutaki hela me ntakupa sayari ya jupiter,mars na venus! ukibidi nakuhonga na galaxy ya milk way galaxy!
Dah aisee vyote ivyo
 
Miti haina maana kubwa kuliko maua.

Halafu usipendelee sana miti, we pokea ua, mti utafuata.
Mti,mtii huu ninaoujua mimi? Au mti gani unaoongelewa hapa?
Maana ninyi vijana mnaeza anzisha topic kama topic, halaf baadae ukaona watu wanacheeka! Ukija stuka kuuliza wanachocheka, utakuta kumbe walikuwa na maana zao! Kiswahili siku hizi ni lugha tajiri, neno1, maana nyingi!
 
Hili jambo kaka nami nilitaka kulijua kwa Aishah2016 nadhani maana zote tuu zona apply
 
Back
Top Bottom