Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
KwakwelAnaetaka cha uvunguni inambidi afunue kitanda
Sizitumiagi izo [emoji14]Wewe Hutaki [emoji384] [emoji384] ?
Basi nitakupa za UncleMaguSizitumiagi izo [emoji14]
Izo snaeza subiri mpk nifeBasi nitakupa za UncleMagu
[emoji3] [emoji3] aisee icemanUmetumia mti kama tafsida!?
Au mti kama huo kwenye picha labsa kabsa!?
Hahaha.[emoji3] [emoji3] aisee iceman
Mm nimezungumzia uo wa kwenye picha
Naeza Pata mbao apo nkauza
Hahaha maua ya nn ssHahaha.
Basi sawa, lakin hata hvo ukipewa mti wa kwenye picha ukakubali hata mti wa tafsida utapewa tu.
Haya[emoji257] chukua ua hilo. Sio kila siku miti tu.
Mkuu tunakata mmoja tunapanda miwili so due to that replacement cdhan kama tunaharibu mazingiraUharibifu wa mazingira...
Miti haina maana kubwa kuliko maua.Hahaha maua ya nn ss
Mkuu tunakata mmoja tunapanda miwili so due to that replacement cdhan kama tunaharibu mazingira
Haiyaa buanaHapa hakipandwi kitu zaidi ya kuharibu majani kwa kulazana chini...
Afu ww ni mchokoz ww [emoji115]Miti haina maana kubwa kuliko maua.
Halafu usipendelee sana miti, we pokea ua, mti utafuata.
Kwanini wasema hivyo?Izo snaeza subiri mpk nife
Napendaga wa hivi😀 haya tuyajenge!Sizitumiagi izo [emoji14]