Rai mzima kutoa povu chafu namna ile ni kujishusha kusikoelezeka. Unajivua nguo mbele za watu. Kuna tofauti ya kuvuliwa na kujivua nguo mbele ya watu. Chunga sana maneno yakutokayo. Wanafiki wana mwisho mbaya . Uyafanyayo ni maamuzi binafsi yenye mlengo wa upendeleo kiburi majivuni na kila aina ya uhasi (negativity) si ilani ya chama. Utukufu wa Mungu utadhihirika siku moja.