Da pokea like zangu mia nimekupenda buree Watu wengine hapa wanataka tu waone thread za ngono na mapenzi sentive issue kama hii mtu mzima unashangaa anakejeli hujafa hujaumbika.
Ndugu zangu wanajamvi upepo wa maisha bdo haujakaa vzur kwangu kila kukicha bora jana,wenye mapenzi mema napenda tuchart kwa pm,tupeane mawazo,ushauri,na hata ikikupendeza unisaidie mtanzania mwenzako,karibuni sana!,naona lile pepo la kujiua bdo linanifatilia!
Mdogo wangu, unajihuzunisha kwa sababu unajifikiria kuwa wewe ndio mwenye matatizo makubwa kuliko wengine. Yaani 50% ya watu waliomo hapa ikiwa ni pamoja na mie, tukikusimulia nusu ya stress zetu tuu utachoka na kujiona mwenye bahati. Na nikuambie wazi, ajira ama hela sio lazima ikuondolee stress. Bible inasema duniani mnayo dhiki, jipeni moyo nimeushinda ulimwengu. Kama wewe sio mkristo hebu kamata mstari mmoja wa kitabu chako cha dini na ujitie moyo. Ukijiua unampa ibilisi ushindi wa mezani. Wewe ni zaidi ya hapo.

1. kwa nini ufikirie kujiua?
2. umekosa njia zote za kutatua matatizo yako hadi ujiue mkuu?
3. huna mtu wa karibu ambaye atawez kukusaidia matatizo yako hadi ufikirie kujiua mkuu?
4. kama upo dar nenda baharini kaongee mambo yate yanayokusibu na uhakika utapata relief katika maisha..
Pia tujitahidi kuandika lugha inayoeleweka
Hayo ni mawazo na pia ninayaheshimu,ila kauli hiyo niliyoitoa endelea kuichukulia hivyo hivyo bila kuipindisha.Bila shaka wewe ni teenager.
mtu yeyote anayetaka kujiua kisa mapenzi anitafute mimi,nina kitanzi kabisa mjengoni kwa ajili ya watu wazembe kama hao.
Nalog off
Hivi ndivyo nilivyo ni vigumu sana kubadilika kwa staili hiyo.Nadhani mtoa mada sio kwamba kila ushauri unaotoka hapa anaufuata,sasa kama ataufuata ushauri wangu itakuwa ni bora zaidi au kama ataupotezea itakuwa ni vyema pia.Ila yale niliyoyaandika hayatobadilika naomba iendelee kusomeka vilevile.Tujitahid kua serios kwnye ishu iliyo serios,2ckariri mambo. Sio kila anaehitaji ushaur analeta mzaha. Ushaur wko ni muhim sn kwa mlengwa.
Pole rafiki, Elewa kwamba kila mlima unaokutana nao mbele yako umebeba siri ya mafanikio yako. Linda moyo wako, usinung'unike kwa magumu unayokutana nayo ktk maisha,
ufundishe moyo wako kuamini mafanikio yapo mbele yako usiangalie nani anasema nini na yupi anasema kipi juu ya maisha yako. Fanya kazi kwa bidii na simamia mipango yako vema hakika sikumoja utagundua wewe ni wa "thamani".
Mungu akulinde.
Kwanini nijiue? unafikiri nikitaka kujiua nitakuja kukuomba ushauri?Jiue wewe basi ili "u-log off" properly kama ni "poa tu" kama usemavyo hapa!
Umesahau ya kuwa dawa ya moto ni moto?sio vyema kumsanifu mtu anapokuwa kwenye matatizo, ni bora kunyamaza kimya kuliko kumuongezea masikitiko.
Kaka mimi mwenyewe cna kazi na iliniumiza sana mwanzoni ila nikapitia maneno ya MUNGU na kuyachukilia haya mambo kawaida tu kwa vile najua daima MUNGU anatuwazia mema watoto wake hivyo wakati wangu utafika tu hivyo napambana huku nikimtanguliza MUNGU. Penda kusikiliza mahubiri ya wachungaji kuhusu ukiwa na crisis mfano tafuta "Turning a crisis into an opportunity" by Dr. Charles Stanley kwenye Youtube kupitia hapa m.youtube.com/watch?v=-0NibmKKkPw&desktop_uri=%2Fwatch%3Fv%3D-0NibmKKkPw
Kiongozi unadhani kujiua mchezo?duuu! Mkuu mbona unamfanyia ukatuni kijana mwenzio?
nitajaribu kwenda kuifata iyo link internet maana hapa natumia simu uwezo wake ni mdogo