ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 219
Washawasha na Himidini kama hamna la maana la kuandika pale mwenzenu anaomba msaada katika matatizo yake yanayomsibu ni bora mpite kimya kimya tu jamani dah!!!!
mbona kujiua ni poa tu!
Nalog off
Dah pole sana aiseee............
^^
Ukijiua unapunguza jam
^^
Dah pole sana aiseee............
Ndugu yangu ukijiua unakuwa umemkasirisha Mungu aliyekupa uhai,utamhuzunisha mama aliyekubeba miezi tisa tumboni,utawadissappoint ndugu zako waliokuwa bega kwa bega nawe kwenye kila hatua ya makuzi yako,utampa simanzi mchumba/mpenzi wako aliyejitolea kusimama nawe kwa kila jambo! Tuna machungu mengi kwenye maisha ila tunayachukulia as changamoto na kusonga mbele! Hebu rudisha tumaini lililopotea!
Washawasha na Himidini kama hamna la maana la kuandika pale mwenzenu anaomba msaada katika matatizo yake yanayomsibu ni bora mpite kimya kimya tu jamani dah!!!!
Ka msichana na ni wife material ni pm.
hivi kwa nini asichaRT hapa mpaka pm???
Na KUCHART ndo nini???
Aaaaaa ngoja mie nikarareeeeeeeee
Sasa huoni kama tuko kundi moja?Washawasha na Himidini kama hamna la maana la kuandika pale mwenzenu anaomba msaada katika matatizo yake yanayomsibu ni bora mpite kimya kimya tu jamani dah!!!!
Washawasha na Himidini kama hamna la maana la kuandika pale mwenzenu anaomba msaada katika matatizo yake yanayomsibu ni bora mpite kimya kimya tu jamani dah!!!!