Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,437
u cant be serious ww kama hazitafutwi humu ww unafanya nn humu kwenye forum ya nafasi za kazi na tenda???haya niambie znatafutwa wapi....
Naomba kunukuu kilichoandikwa kama utangulizi wa jukwa hili "Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please"
Sasa kama wewe unaamini utapata kazi kupitia jukwaa la kazi na tenda hapa JF, hongera.