habarini jamvini!ajira imekuwa ishu sana either umesoma or huna mtu mahali...
ss basi natafuta ajira hata ya laki mbili mwenye nayo ani pm makaratasi yngu ya vyuo haina shida ntamwekea mwanangu kumbkumb....diploma holder,female straight,english inapanda,beautiful!
n;b wenye maneno ya kero mnaweza ipotezea hii post