Hata kama una haki....

something is wrong somewhere! jitafakari. btw, kwenye kosa la R na L...ni mokosa madogo madogo tu and has nothing to do with the message content. anyway, kupanga ni kuchagua. kwa kuwa umechagua kuwa snitch...good for you..
 
[.kuwa tu na haki ya kufanya jambo fulani haimaanishi ndo ujitoe kabisa fahamu na kuanza kuropoka ropoka kama mwendawazimu.

''Kuropokaropoka'' kama wendawazimu nadhani sasa limekuwa janga la kitaifa mpaka kwa raia nambari one. Huyu juzi karopoka ati hata yale mabango yote (yale yaliyokuwa hayamtukuzi) yakienda kuwekwa kwenye vitanda vya wabeba mabango, hatoyasoma kamwe. Huu nao ni uropokaji uliopita mipaka.
 
something is wrong somewhere! jitafakari. btw, kwenye kosa la R na L...ni mokosa madogo madogo tu and has nothing to do with the message content. anyway, kupanga ni kuchagua. kwa kuwa umechagua kuwa snitch...good for you..

Umeumbuka.

Na ndo maana hata huja address hiyo hoja yako niliyoijibu kwa ithibati.

Safari ijayo jipange vizuri kabla hujaninyooshea kidole na kutoa tuhuma za kitoto.
Umeweweseka hadi umeshindwa kuandika 'makosa'.

Hujui hata maana ya neno snitch. Unachekesha.

😀
 
Hayo ni maoni yako.

Rais Magufuli haendeshi nchi kikabila.
Lissu the Great endelea kuwatoa kamasi.mwendo mdundo mpaka 2020

Lissu ndo mgombea wenu 2020?

Hahahahaaa
 
Hivi wasukuma mmeamua kujitoa ufahamu kutaka kubadili taka ngumu za Pogba ziwe almasi?
 
Hivi wasukuma mmeamua kujitoa ufahamu kutaka kubadili taka ngumu za Pogba ziwe almasi?

Anayejitoa fahamu ni huyo Lissu na nyie wapambe wake.

Rais Magufuli haendeshi nchi kwa misingi ya kikabila na kikanda.
 
Stupid same 'ol lame one liners.

That's when you know the person giving them can't hang with you.

Happy weekend.
Sihitaji happy weekend kutoka kwa mental retarded person!
Wewe endelea kutakatisha taka ngumu za Pogba labda zitakgeuka kuwa almasi!
 
Sihitaji happy weekend kutoka kwa mental retarded person!
Wewe endelea kutakatisha taka ngumu za Pogba labda zitakgeuka kuwa almasi!

Nimekutoa povu😀

Pole sana na happy weekend.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…