Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,961
- 142,154
- Thread starter
-
- #181
Ni wazi hujanisoma. Na kama umenisoma basi hukuelewa ulichokisoma.Makosa ya Lissu ni nini hasa? Usitoke povu, trust me hakimu ataitupilia kesi kwenye bini, kama kesi nyengine kabla ya hii, au unasemaje?
And that will prove my point, i.e. Your insecurity, aka stupidity!
Your tactics is called "whitewash", trying to pretend to criticise the other to be seen fair, your insecurity keep revealing itself! Yaani unaangalia upepo, you don't have any firm standing on anything!
Keep revolving! Tunakosoma!
Makosa ya Lissu ni nini hasa? Usitoke povu, trust me hakimu ataitupilia kesi kwenye bini, kama kesi nyengine kabla ya hii, au unasemaje?
And that will prove my point, i.e. Your insecurity, aka stupidity!
Ni wazi hujanisoma. Na kama umenisoma basi hukuelewa ulichokisoma.
Matokeo yake unaishia kuropoka tu.
Mara ngapi humu nimeshasema kuwa Lissu hana kesi ya kujibu mahakamani kwa mintarafu ya yeye kukamatwa safari hii?
Nimeshasema humu kwamba hapo hakuna kesi. Kwamba kilichopo ni kumsumbua na kumnyanyasa nyanyasa tu.
Hilo nishalisema wazi. Nishasema kuwa mashitaka dhidi yake ni frivolous.
So what the hell are you talking about?
Unadandia tu karandinga kwa mbele hujui limetoka wapi.
Good grief.
Hilo povu si la mchezo ati[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe mtapatapa na maji tu, so why puking your profanity na uzi mrefu kwa kumkashifu Lissu kuongea alichoongea,
Je there is no truth in what he is saying? Ambacho kilichompelekesha yeye kuwekwa ndani, na hatma yake kufikishwa mahakamani.
Na kama no, he will definitely go to jail, i.e. For hate speech Na kama yes, basi atashinda kesi hata kama hawatasema hilo, na hapa Mimi na wewe tunakubaliana.
So what's your point ya huu uzi wako?
Na je unakubalina Na wengi humu, millions tzshs are wasted, kwenye mahakama, police resources all paid by tax payer for a non issue to start with!
Na cost nyengine ambayo intangible kama uhuru wa kumuongelea Rais wako kwa kumkosoa, kama unavyojigamba umemkosoa sana humu, je huoni hilo pia utalikosa kwa vitendo vya serikali kwa kutumia vyombo vya sheria for non issue to start with.
Naona kama unajichanganya, you don't have argument or narrative ya kile unachokiandika au unachokitetea, just a lost cause or confused Ngabu, I'm lost for choices, how I should define you.
Read back your comment and think!
Kazi yako inaota mbawa soon wewe unashinda JF unampigania mchaga mwenzio fisadi mbowe. Sijawai ona cashier bogus kama wewe. Soon utaiaga masaki.
Hilo povu si la mchezo ati[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Laiti ungekuwa unanisoma na kuelewa ulichokisoma usingetoa povu kiasi hiki.
Pole sana.
Ila mkuu umebadirika sana mpaka inatia wasiwasi.
Rais huyu ni dictator na ana roho mbaya, wivu na husda.
sijui kwa nini unamtetea/munamtetea?
Boss, jaribu kuwa neutral...na dunia hii/ i guess JF members watakukumbuka kwa hilo
Ni kweli kabisa mkuu wezi wamekamatwa kila mahala japo wanashinda kesi zao lakini tumethubutu kuwakamata, japo wametushinda mahakamaniHayo yaliyofanyika kukabiliana na kuchukua hatua dhidi ya wahalifu kutoka hewa kila mahali hadi rushwa kubwa zilizokuwa zimewekwa kapuni..wewe ungeweza??? waliomtangulia kwa nini walishindwa..sifa muhimu ya serikali yoyote ni kuwa powerful!!! madaraka si kufanya watu wacheke kijana..
Hongera sana mkuu, umenena haswa. Hii tabia tuliyonayo ya kuona kwamba mtu mwenye mamlaka ana haki ya kusema lolote asemalo, amtukane yeyote atakaye na vyovyote vile, bila kuhojiwa, hivi chanzo chake hasa ni nini? kwamba ikitokea akaja mtu tu raia wa kawaida akamsema huyo mtawala, basi utaona watu wanajaa povu. wala hawana muda wa kuangalia mizania, kuona kwamba binadamu wote wanastahili heshima.Yuko mmoja anayedai anahaki ya kufanya mikutano ya siasa kokote na wakati wowote. Binafsi sijapata kuona mropokaji kama yeye.
Wewe mleta mada, sijui haya maneno ni ya kwako au ya 'nyani' (sisiem) anayemkejeli mwenye shamba (wananchi) baada ya kuiba mali ya umma kwa miaka zaidi ya hamsini (ikiwemo ile ya tanu na eiespi)?
Huyu 'mtukufu' kati ya miungu ya ya kufikirika, eti yeye yuko juu ya sheria na katiba ya nchi na ana haki ya kutukana au kukejeli yeyote huku akishangiliwa na wengi waliojitoa ufahamu kama wewe! Kuwa mkuu hakumpi haki mtu yeyote kudharau wengine na huyu 'mtukufu' is only human in blood, flesh and souls, no different to you and I. 'kinyago tulichochonga' wenyewe chapata wapi haki ya kuwadharau waliokichonga?
Iko siku wewe utamzomea huyu mtu. Yaani hii mada yako inamhusu huyo mtukufu siyo TAL. Think again GT!
Vyovyote utakavyomuona Lissu, anahitajika sana tu katika Tanzania yetu hii. tumekuwa na ma-rais na ma-rais-wastaafu, ambao wamewaita watanzania, waliowaomba kura kwa "unyenyekevu" mkubwa na hata "kupiga push-up", kwamba ni WAVIVU WA KUFIKIRI. kuna wengine wamewaita watanzania MALOFA. Heshima haina mkubwa wala mdogo. Marijani Rajab aliwahi kuimba:Lissu hajui saying the right thing wrongly and saying the wrong thing have the same effect and penalties.
Lissu pia hajui kuwa inahitaji busara kumtukana au kumsuta mkubwa. Hakujifunza alivyobezwa na JK wakati anamuomba aingilie mchakato wa katiba mpya kwa mamlaka ambayo yeye mwenyewe aliyapigia kelele na kumnyang'anya rais [emoji2] [emoji2]
Leo hii likitokea sokomoko kati ya wananchi wa kanda ya ziwa na wa kwingine kisa hayo maneno yako, utalizuia?
lini umehama ccm tena? WalikufanyejeKama ni hivyo basi Lissu ndiye anayestahili kuombewa sio yule malaika asiyejaribiwa
I'm not psychic but, It could be ni ile narrative anayoongelea Lissu,
"Labda Nyani na Ngedere wanatoka shimo moja " a sense of insecurity by Nyani Ngabu!
Anaziba pua na kunusa pale anapotaka! Kwa maana nyengine his(Nyani Ngabu) conscious betrays his common sense! Kwa maneno yake Mijiafrika ndivyo tulivyo... by Nyani Ngabu
The issue is, Lissu is nobody, but the other is everybody, why feel a sense of insecure from Tundu words, he decided to resolve his insecurity by resorting in brutal force injustice, wasting of our resources and frankly speaking our tax money!
How many cases against Lissu by the state stuck up!, non of which result in conviction, does that make sense, he is on the right, and the other, well, you make your educated guess!
Stop wasting our resources, police time, court time and my time and my money!
Mkuu Mungu akubariki, kingreza safi, context safi. Hizi ndio akili zinazofanana na akina Lisu., sio unafiki wa msukuma huyu Nyani Ngabu.