Hata kama ni mumeo ila mimi unaniuzi

Hata kama ni mumeo ila mimi unaniuzi

Kama mume katika ndoa mpya , nimeumia kwa aajili ya huyo mume wa huyu mke ambaye anachepuka na huyu mzee [emoji26][emoji26][emoji26]
Matatizo mengine ya kujitakia. Usingekuwa na kiherehere cha kusoma jumbe za watu, wala usingeumia.

Siku usome ukute namba ya mkeo, anamuambia amemiss kupelekwa kwa Mpalange.

Tuanze kuja kusumbuliwa kufanya Post mortem kujua kilichokuua kwenye bus.
 
Ameseviwa kwa jina la Pendo ........ Majina mengine simalizii [emoji23][emoji23][emoji23]
Mke wangu haitwi hivyo
 
Hapo kwenye mzee wa makamo ndio umeniacha hoi 😂

mtu wa 55yrs hana sifa za uzee kwangu, sina umri mkubwa ila unamzeesha kiukweli.

Mzee ina sound poa kwenye 65 na kuendelea.

Kuna watu wana 60 wako poa mbaya huwezi hata dhania.

Masoud kipanya ana 51yrs ila unaweza dhani ana 40
 
Mkuu usher-smith,
pole kwa kuumia nafsi yako kwa ajili ya wengine.

zingatia kutofuatilia maisha ya mwingine kila mmoja anayo haki ya kuishi apendavyo hata akiwa na michepuko 100.

kwenye mada yako ilibidi uje na mashahihisho ama maoni kuhusu hilo tukio kwa kuelemisha na kuelewesha jamii husika.
 
I was just observing, sio kufatilia maisha yao.

Kama ningeingilia kati , ndio ningekuwa nafatilia maisha yao.

Maoni nimewaachia kila mdau achangie.
 
Back
Top Bottom