Hata kama ni mumeo ila mimi unaniuzi

Ni hatari sana, na mume hana mamlaka ya kuhoji ataambiwa nimechukua ya mkopo ntalipa kidogo kidogo, pumbavu oeni tuwapigie nyie vibwengo 🤣🤣🤣🤣
 
"Hata kama ni mumeo ila mimi unaniuzi"

Ni maneno yaliyonifanya nisome vizuri texts za huyu jirani yangu hapa kwenye bus la kwenda Dodoma usiku huu.

Ni mzee wa makamo kama na 45-50 hivi. Binti anamuita dady na anasema anataka waleane asimuache.

Mzee anamwambia unanisumbua kwa sababu sijakununulia smartphone ya laki 5, akimuahidi binti ampe wiki 2 atapata hiyo laki 5 ya smartphone.

Aisee mke wa mtu anabembeleza penzi kwa huyu mzee na kutaka anunuliwe simu mpya

Kama mume katika ndoa mpya , nimeumia kwa aajili ya huyo mume wa huyu mke ambaye anachepuka na huyu mzee

Kwa aliye kwenye ndoa na utaona mkeo kapata simu mpya ya laki 5 hadi 6 , mali yako inaliwa
 
Mkuu kwa hiyo tunaukaribia uzee? Kwamba 45-50 ni mzee wa makamo, dah!!
Hata hivyo, acha habari za chabo mkuu.
 
Mzee ana uhakika wa kupata 500K ndani ya wiki mbili.

Vijana tunalipwa 250 kwa mwezi.

Toiling kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 1 usiku.

Na unashangaa ni kivipi binti anaita mtu Dady
 
Mzee ana uhakika wa kupata 500K ndani ya wiki mbili.

Vijana tunalipwa 250 kwa mwezi.

Toiling kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 1 usiku.

Na unashangaa ni kivipi binti anaita mtu Dady
Ni huzuni yani
 
Mzee ana uhakika wa kupata 500K ndani ya wiki mbili.

Vijana tunalipwa 250 kwa mwezi.

Toiling kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 1 usiku.

Na unashangaa ni kivipi binti anaita mtu Dady
Eti " Daddy usiniche, nakupenda sana tuleane"

Nikafikiria wale vijana wa kataa ndoa, wana hoja sana
 
Back
Top Bottom