mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 16,039
- 35,922
Na wewe lete mtoririko wako unaoegemea policcm hujakatazwaInawasaidia nini kuleta mtiririko unaoegemea upande mmoja ,huo sio uandishi na mwish wa siku mbowe analiwa kichwa
USSR
Na wewe lete mtoririko wako unaoegemea policcm hujakatazwaInawasaidia nini kuleta mtiririko unaoegemea upande mmoja ,huo sio uandishi na mwish wa siku mbowe analiwa kichwa
USSR
Nasubiri siku ya Sirro , siku hiyo ripota kutoka mahakamani imekubaliwa na pande zote awe Erythrocytemasikini mataga pori roho imekuuma mnoo mshahidi wenu feki wanavyoumbuka mubasahara
Mle hata utumbo nini kichwa ai ndio mmezoea?Inawasaidia nini kuleta mtiririko unaoegemea upande mmoja ,huo sio uandishi na mwish wa siku mbowe analiwa kichwa
USSR
Wamezoea uongo hao watu.!We ndio kilaza wa vilaza haswaa! Kuegemea upande mmoja vipi wakati mtiririko wa kesi ni maswali na majibu baina ya mawakili na mashahidi wa pande mbili! Au ulitaka upande wa pili waandike maelezo ya Mwendachato?! Mmezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi! Nyau we!
Mkuu, huo ndiyo mtiririko wenyewe.....!!Inawasaidia nini kuleta mtiririko unaoegemea upande mmoja ,huo sio uandishi na mwish wa siku mbowe analiwa kichwa
USSR
Haikusaidii dadaAtatoka !!! Mnajipa matumaini karibu anakata mwezi na ndio kwanza kesi imeanza ,pale ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa Kama tano hata akikaa miezi minne bado atakuwa akili zimerudi akija uraiani atakuwa amekaa sawa
USSR
Kama huridhiki nenda na wewe mahakamaniInawasaidia nini kuleta mtiririko unaoegemea upande mmoja ,huo sio uandishi na mwish wa siku mbowe analiwa kichwa
USSR
Kama huridhiki nenda na wewe mahakamaniInawasaidia nini kuleta mtiririko unaoegemea upande mmoja ,huo sio uandishi na mwish wa siku mbowe analiwa kichwa
USSR
Hata mkifunga ,tunaamani sana maana walau Mambo mazito tumeyaona.Hata akifungwa tutamshukuru MUNGU kwa tote yeye mwenyewe Mungu anajua zaidi yetu sisi .Mwisho wa siku Mimi na USSR tutaonana Mbinguni tukifurahi pamoja na MagufuriAtatoka !!! Mnajipa matumaini karibu anakata mwezi na ndio kwanza kesi imeanza ,pale ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa Kama tano hata akikaa miezi minne bado atakuwa akili zimerudi akija uraiani atakuwa amekaa sawa
USSR
Na wewe leta mtiririko unaoegemea upande unaotaka, ndio maana ya jukwaa huru.Inawasaidia nini kuleta mtiririko unaoegemea upande mmoja ,huo sio uandishi na mwish wa siku mbowe analiwa kichwa
USSR
Mwezi mbona kidogo, alishawahi kaa miezi minne na hakutetereka kwenye msimamo. Rugemalira amekaa miaka zaidi ya mitano lakini leo yuko huru na anakula maisha kuliko wewe ambaye unaishi kwa kulamba miguu ya wapanda vieiteAtatoka !!! Mnajipa matumaini karibu anakata mwezi na ndio kwanza kesi imeanza ,pale ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa Kama tano hata akikaa miezi minne bado atakuwa akili zimerudi akija uraiani atakuwa amekaa sawa
USSR
Kumbe na nyie maccm mnasoma proceedings
Kwani akirudi uraiani anatusaidia nini ? Acha alale lupango huko afunzwe adabu na ulimwengu.Haikusaidii dada
Hata akifungwa haikuongezei chochote . Mtu moja alitamani wenye mawazo tofauti naye wafe wote. Na bado akatamani kuongeza muda wa kututawala. Leo chakula ya funza . Yuko wapi ?! Alitaka kila kitu kiende kwao. Kaviacha ache Mungu aitwe Mungu na ni fundi mkuu
Namshukuru MUNGU anatulinda ndugu Yangu....Mkuu Juzi nadhani nilikuona sehemu...upo poa lakini
Nafikili Hili hatakiwi kua mjadala ,chamsingi tunafuatilia live kutoka mahakamani Basi,Nimekuta malumbano huko twitter na baafhi ya watu wanakejeli kuwa anayeandika mtiririko wa kesi ni Bonny Jacob na siyo MMM kama wengi wanavyofikiria.
Ndio nauliza, huyo Bonny kazuiwa na katiba kuripoti kesi ya Mbowe?
Mbona inakuwa nongwa?!
Namshukuru MUNGU anatulinda ndugu Yangu....
Sikuhizi hatukuoni jukwaani
Pamoja SanaNdugu nilisafiri,nilikua porini kwa ishu za maisha kaka
Jera ni wapi Ndugu Mtanzania, au wewe ni MrundiMbowe akitoka jera hayo matatizo yataisha
USSR