Hata kama ni kweli Boniface Jacob ndiye anayetuletea mtiririko wa kesi ya Mbowe kutokea mahakamani, kuna ubaya gani?

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,309
2,000
Lazima wafuatilie maana ndicho chama hai cha upinzani kilichobaki na chenye nguvu.
Wanafanya kila namna ili mradi waue upinzani.
Mbowe anatoka tena bila kuwa na hatia yoyote.
Eti Mbowe anakabiriwa na kesi ya ugaidi? Hizi figisu niliziona toka mwanzo kipindi cha uchaguzi na mikutano
CCM bila polisi ni wepesi km unyoya.
Ndiyo hayo hayo ya Rugamalila?
Hapo wanapandikiza chuki bila wao kujua wanafikiri Mbowe ni Chadema, wakimfunga Mbowe ndiyo wamemaliza kila kitu.
Atatoka !!! Mnajipa matumaini karibu anakata mwezi na ndio kwanza kesi imeanza ,pale ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa Kama tano hata akikaa miezi minne bado atakuwa akili zimerudi akija uraiani atakuwa amekaa sawa

USSR
 

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,309
2,000
Watu wana wivu sana. Kuona huyo martin anatrend na watu wanamrushia pesa imekua nongwa. Wanataka wamtoe kwenye reli tu asitupe uhondo
Unatafuta uhondo mtandaoni , unajiuza ?

USSR
 

elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
10,616
2,000
Nimekuta malumbano huko twitter na baafhi ya watu wanakejeli kuwa anayeandika mtiririko wa kesi ni Bonny Jacob na siyo MMM kama wengi wanavyofikiria.

Ndio nauliza, huyo Bonny kazuiwa na katiba kuripoti kesi ya Mbowe?

Mbona inakuwa nongwa?!
Wanataka TBC taifa iripoti ili waseme demokrasia ipo.
 

igogondwa

JF-Expert Member
Aug 1, 2021
1,244
2,000
Gaidi mbowe lazima ale miaka ya kutosha ili kupunguza ujuaji mahakamani na twita

USSR
Mhe Jaji hiki anachonionyesha siyo PGO..... Jaji: jamani nendeni naye taratibu tayari mmeshamchanganya huyooo
 

igogondwa

JF-Expert Member
Aug 1, 2021
1,244
2,000
Atatoka !!! Mnajipa matumaini karibu anakata mwezi na ndio kwanza kesi imeanza ,pale ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa Kama tano hata akikaa miezi minne bado atakuwa akili zimerudi akija uraiani atakuwa amekaa sawa

USSR
Twende kazi...
Screenshot_20210918-082212.jpg
Screenshot_20210918-081942.jpg
 

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
6,987
2,000
Atatoka !!! Mnajipa matumaini karibu anakata mwezi na ndio kwanza kesi imeanza ,pale ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa Kama tano hata akikaa miezi minne bado atakuwa akili zimerudi akija uraiani atakuwa amekaa sawa

USSR
Hapo mwanzo alipokaa ndani baada ya dhamana yake kufutwa akili ilimrudia? Alipohukumiwa kifungo au faini ya ajabu akili ilimrudia?

Amandla...
 

Trillion

JF-Expert Member
Apr 24, 2018
2,614
2,000
Mmezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi! Nyau we!
Nguruwe poli hizo za Makunduchi, zisikuchoshe mkuu.
zinapenda kuolewa mitala na ndoa za Mombasa.. akili zao hazina akili kama yule Mwanasesere wa Polepole.
zimelaaniwa DUNIANI na Mbinguni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom