Hata Kama Ni CHUKI/WIVU Siyo Kwa Namna Hii

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,699
4,116
Picha inajieleza;
Tafadhari Mods, msifute uzi huu Umewekwa mahali sahihi na Umeelezwa kiusahihi Tu:

3154bd13825def31cd9095cee55568cf.jpg

cc:mad:mzee mwanakijiji

Bastola ya nini sasa!!
 
Kichwa kimekauka utadhani ni kambale mkavu
Jamani hivi kusoma unaweza ukawa hujui hata picha huwezi kuitafsiri. Hebu otea kazi yake ya msingi huyu mkuu wa mkoa. Jamani kutafuniwa mtafuniwe mpaka mmezewe, Kha!
 
Jamani hivi kusoma unaweza ukawa hujui hata picha huwezi kuitafsiri. Hebu otea kazi yake ya msingi huyu mkuu wa mkoa. Jamani kutafuniwa mtafuniwe mpaka mmezewe, Kha!
unampa kazi ngumu sana,,,,yaani aanze kuotea tena?
 
Jamani sio kwamba timing ya picha kwake haikukaa vizuri? kama mtu ana video yake atuwekee ndio tupate uhalisia zaidi.
 
Back
Top Bottom