Hata kama mke wako ana pesa ...................

Hata kama mke wako ana pesa ...................

Munkari Itabidi tumlete huyo jamaa yako humu tumfundishe namna ya kumcare mrembo kama wewe
Dushe bila vikorombwezo halifai bana utaona kama mateso kila siku wakati hata chocolate au ua rose hulioni aise

meona eeeh! Nitafanya juhudi nimbebe huku !mmh kumbe napitwa hvyo jamani !!
 
Last edited by a moderator:
amu kwa kweli mimi si mchoyo wa zawadi au allowances hata kama ana kazi yake bado namjali kwa zawadi na outing za kutosha bado najiamini nipo kwenye enzi zile za uchumba ambapo zawadi ilikuwa ni order of the day japo tupo kwenye ndoa
Ambaye anaona kumletea mkewe zawadi au kumkumbuka hata kwa kitu kidogo ni utoto naamini hahajua kuna kitu anakikosa kutoka kwa mkewe

so sweet jamani mjue mkituletea zawadi au ,miallowance hata kununa nuna tunapunguza mda wote kicheko tuuu
 
Last edited by a moderator:
unazungumzia pipi? pipi sh mia eti ? wanaume wa siku hizi wabinafsi sana.baba zao hawakuwa hivi sijui wametoa wapi hizi tabia za kichoyo hivi....sasa kama hata pipi hupati si umuache? kama mtu hakuthamini wa nini sasa?

wengine basi tu ni ushamba c kwamba hana hela ni vile anaona uzungu mwingi kumpa mpenzi/mke wake vijizawad na mambo mengine!!!!
 
meona eeeh! Nitafanya juhudi nimbebe huku !mmh kumbe napitwa hvyo jamani !!
Munkari fanya hivyo au utaishia kuwaona wenzio wanakuringia wameletewa zawadi na wapendwa wao wakati wewe hata pipi tuu hujawahi kuona

so sweet jamani mjue mkituletea zawadi au ,miallowance hata kununa nuna tunapunguza mda wote kicheko tuuu

kabisa amu mi naona nikimletea hata nyama choma kidogo tuu anafurahi mbaya au nikinunua zawadi ya perfume anayoipenda au siku moja moja unamletea roses yaani hata kama alikuwa amenuna anacheka mpaja jino la xmass
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky nikupate wap umpe somo huy mwanaume mwenzio? manake mmmhh ......
 
Haa haa...hujatulia. watu8, si unaona wengi tunabaniwa wallet?

Ha ha ha!!!

Pole yako rafiki, hebu mfundishe mumeo namna ya kutoa toa vijizwadi labda ataona soni na kujifunza kutoka kwako...

Kumbe bado wakumbuka ile habari ya shopping eenh!!!
 
Munkari fanya hivyo au utaishia kuwaona wenzio wanakuringia wameletewa zawadi na wapendwa wao wakati wewe hata pipi tuu hujawahi kuona



kabisa amu mi naona nikimletea hata nyama choma kidogo tuu anafurahi mbaya au nikinunua zawadi ya perfume anayoipenda au siku moja moja unamletea roses yaani hata kama alikuwa amenuna anacheka mpaja jino la xmass

we acha tu mana toka nipewe kikadi cha sh 500 cha"i love u " enzi zile hadi leo sijaambulia kitu natoa macho tu loh!ntakuwa najinunulia mwenyewe ctak tabu!!
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky nikupate wap umpe somo huy mwanaume mwenzio? manake mmmhh ......

Nipo aise Jawilat we mwambie tuu namna ninavyopatikana nimpe somo namna ya kumcare ampendaye na asifikirie tuu dushe ndo zawadi bana
 
Last edited by a moderator:
we acha tu mana toka nipewe kikadi cha sh 500 cha"i love u " enzi zile hadi leo sijaambulia kitu natoa macho tu loh!ntakuwa najinunulia mwenyewe ctak tabu!!

Mi kwa kweli Munkari hata nikinunua cologne yangu lazima ninunue na perfume yake tena zinazolingana bei au zaidi ya bei hata ya kwangu na nikinunua suti moja yeye atapata tatu
dah hapo kwa kweli anzisha mgomo wa kudai hata zawazi yaani hata birthday yako inapita hata zawadi hakuna hapo anzisha mgomo baridi wa kutopokea dushe
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha!!!

Pole yako rafiki, hebu mfundishe mumeo namna ya kutoa toa vijizwadi labda ataona soni na kujifunza kutoka kwako...

Kumbe bado wakumbuka ile habari ya shopping eenh!!!

Mmh, uliona wapi samaki anakunjiwa mezani jamani, si atavunjika? Bwana wee...hizo zawadi tulitooooooa, lakini watu wamefumba macho....Acha tubaki kujizawadia wenyewe tu, it makes life simpler...eti amu, uongo?
 
Last edited by a moderator:
Kwani umeongelea wapenzi au wanandoa? Nijuavyo mimi na ndivo ilivo kwangu " hakuna changu wala chake" budget inayopigwa ni ya familia yeye na mimi ni sehemu ya familia hivo budget yake ya mwezi inafahamika wakati wa kubudget. Baada ya hapo vizawadi itategemea na mishemishe zangu. Otherwise pato lake na langu kwa ujumla ni pato la familia.
 
hahaha! Loh! Mr Rocky miye naambuliaga dushe tu mambo ya pipi cjui chokolate na maua roze nayasikiaga kwa jirani zangu tu!! We acha nakwambia!!

hahaaa kuna wanaume wabaya lol!!!!!!!!!!pole yako aisee..........

mi hata ukiniletea lolypop naona kanijali sana
 
Mi kwa kweli Munkari hata nikinunua cologne yangu lazima ninunue na perfume yake tena zinazolingana bei au zaidi ya bei hata ya kwangu na nikinunua suti moja yeye atapata tatu
dah hapo kwa kweli anzisha mgomo wa kudai hata zawazi yaani hata birthday yako inapita hata zawadi hakuna hapo anzisha mgomo baridi wa kutopokea dushe

ndo maana nakupendaga sana mie..........

kuna wanaume wako so selfish hadi kero
 
naunga mkono hoja hata kama nina pesa na kazi nzuri kunitunza ni lazima.Lakini wanaume wa kibongo wakiona umeingia ofisini tu zile allowance zote anakata afu ataanza kukukopa.Mpenzi wangu najua utasoma hapa naomba jirekebishe maaana na wewe hii tabia umeshaianza natamani kukwambia ila ntaanzaje?Ahsante kwa hii mada nimefikisha ujumbe zile allowances naomba zirudishe jamani.Naanza kupata mawazo labda kuna mwingine unampa
Hahahaha, naona JF inatumika, naye atakuja kusema mke wangu juzi ulizidisha chumvi kwenye mboga jitahidi kukadilia vipimo, maisha ya mtandao, how I love it
 
Mh!! Mada nzuri!! Ila cjui kama huwa wanaelewa hayo hawa waume zetu ngoja nisikilizie!!
Wengi wanadhani wajibu wa ndoa ni kutugegeda tu siku zote. Hawajui kwamba mwanamke anahitaji zaidi ya hicho cha kugegedwa.
 
Mr Rocky hata humu hatak kuingia ila leo ntauacha huu uzi makusud ili akishika simu akutane nao,,.labda ujumbe utafika!
 
Hahahaha, naona JF inatumika, naye atakuja kusema mke wangu juzi ulizidisha chumvi kwenye mboga jitahidi kukadilia vipimo, maisha ya mtandao, how I love it

ujue kuna vitu vingine kuvisema/kumwambia directly ni noma so chance kama hizi zikitokea natumia humo humo
 
we acha tu kukumbushana muhimu mi wangu muelewa ataelewa tu labda anazichanga changa anitupiamo na kavitz looo


yaan hapo ni kuomba apitie uzi halafu aelewe unachotaman, la sivyo tutapanda milima yote ya maombi lakin majibu 0.. mi nilidhani nashangaaga peke yangu kumbe tuko wengi!! lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom