Hata.......huwezi.......

Mwanamke hata uwe baunsa vip huwez tembea kifua wazi
 
hata uwe na adabu vipi uwezi kupiga hodi kwenye mlango wa friji.
 
Hata uwe bahili kiasi gani huwezi kumpa Mimba nusu mwanamke
 
Hata uwe Umelewa Sifa Kiasi huwezi Kupata Hangover ya sifa
 
Hata uwe na hela kiasi gani huwezi kumzidi Bishanga

Hata ukikaa miaka kumi bila kuendesha basikeli (Kama uncle Kaizer) huwezi sahau how to pedal

Hata uwe mshari kiasi gani (kama Mphamvu) huwezi kugombana na Mwali

Hata uwe serious kivipi (Kama Kiranga) huwezi vaa sura ya kazi ukiwa jobless

Hata uwe umekosa idea za biashara (Kama The Boss) huwezi fungua duka la tatoo south sudan

Hata uwe hodari kiasigani (kama Husninyo) huwezi osha vyombo vya habari

Hata uwe hujui kiswahili (kama Fang) huwezi sema ulidhani binti wa mama nitilie anaitwa Nitilie!

Hata uwe na haraka vipi (Kama Nyani Ngabu) huwezi ruka line VCT

Hata uitwe Uhuru (kama Kenyatta) bado unaweza pelekwa jela ICC

Hapa hata kama utabisha (Kama Gaijin) huwezi kosa kunigongea like japo kimoyomoyo
 
Last edited by a moderator:

mama ntilie,baba ntilie na mwanao ntilie! Duh
 
Last edited by a moderator:

I love ypu Mwali, basi watu wakiona nimekula ufagio hapa toka kwa super member roho inawauma kweli...
 
Last edited by a moderator:

ahh. mi naweza kuosha vyombo vya habari cousin, vilete uone.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo, Mwali kama sijaendeshapo baiskeli kwa miaka kumi, nilikuwa naendesha nini>>>>>>:nono:
 
Last edited by a moderator:

Mwali una akili sana wewe!
 
Last edited by a moderator:
when you see a snake buying a bicycle, he has probably figured out how he will pedal. Basi ndipo nilipo kukumbukia hapo Uncle wangu

Wow....what a nice memory....please hebu irudishe basi....really ilikuwa inanipa raha sana..... Mwali
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…