Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
hata uwe na nidhamu vipi kamwe hauwezi kumpokea afande bunduki
hivi kumbe haiwekezekani eeh
Hata uwe na tamaa vipi huwezi tamani kifo
wewe na ile mimba uliyotoa ulikuwa hautamani kifo kweli..
Hata uwe na nidhamu vipi kamwe hauwezi kumpokea afande bunduki
Nimeipenda hii sana.
Nimekumiss mdogo wangu.
Hunishindi mimi.
Hata unimiss kiasi gani, huwezi kunywa chai kwa mluzi.
Hata uwe na tamaa vipi huwezi tamani kifo
Hata uwe na tamaa vipi huwezi tamani kifo