Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,146
- 48,382
Tarehe 22/06/1986 Diego Amando Maradona alifunga goli kwa mkono dhidi ya timu ya Uingereza.
Goli hilo alilofunga dhidi ya Kipa mahiri wa England zama hizo Peter Shilton, mpaka leo limeacha gumzo kwenye dunia ya mpira wa Miguu.
Lakini mwisho wa siku goli hilo ambalo kwa picha za marejeo lilithibitika kuwa ni la mkono, limeendelea kuhesabiwa na kufanya mechi iishe kwa matokeo ya 2-1.
Simba eleweni kuwa kama goli likishahesabiwa na Refa ni goli na likikataliwa na Refa basi linakuwa siyo goli.
Makelele ya wengine achaneni nayo nyie songeni mbele!