Masangutu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 814
- 647
Habari wanaJF,
Sioni mantiki ya mashindano ya umiss (ulimbwende) zaidi ya kumdhalilisha mwanamke, ni vyema wahusika wabuni mbinu zingine za kumuinua mwanamke kiuchumi badala ya kumdhalilisha kwa kumtembeza utupu mbele ya baba, mama, kaka na jamii kwa kisingizio cha kumpatia ajira zaidi ya kunufaisha makampuni ya vilevi.
Rai Yangu, kama umiss ni jambo jema, paanzishwe "miss wabunge" tuone kama watakuwa tayari kuonyesha kufuli zao na maumbo ya nyeti zao.
Ni mtazamo tu..