Hata albino na mwangosi nao ni watu wanaostahili kuliliwa, sio captain peke yake mr. JK

helu

Member
Feb 28, 2015
86
124
kikwete_makinda.jpg
​
 
Vifo vya albino hatukuoni ukitokwa na chozi ila kwa komba umemwaga debe zima.
 
Hivi na yule askari Kajembe, anayedaiwa kuuawa katika yale mapambano ya askari na majambazi kule mapango ya Amboni Tanga, hivi JK alihudhuria mazishi yake au angalau kutuma salaam za rambirambi na vile vile alimtolea mchozi kama aliomtolea Kapteni Komba?
 
Hoja ya kijinga haina mbele wala nyuma kutaja majina ya wanaume bila sababu.
 
Umenikumbusha wimbo wa "CHOZI LA DAMU";ulioimbwa na watoto wa kanisa katoliki au ....
Mwenye uwezo,naomba apachike hapa.
 
Ukisha kuwa mwanaume ukaoa na kuzaa unatakiwa kitoa machozi kwa 1. Mwanao. 2. Mkeo na wazazi wako full stop. NA SIO VINGINEVYO. Haya mambo ya kulia lia hovyo tena rais tena amiri jeshi ni upuuzi na hakivumiliki.
 
Watakuja kupinga hata hili. wanapenda kujiliza ili waonekane wanahuruma.
 
Kuwalilia maalibino hakuhitajiki kwasasa bali kinachohitajika ni mikakati madhubuti ya kuwaokoa hawa wenzetu, kwani wamelia wangapi na je kulia huko kulipunguza mauaji.Hata Waziri Mkuu si ameshamwaga chozi kwani kumesaidia kitu.
 
Umeongea,pointi ya msingi sana mkuu,kikubwa serikali na sisi wananchi tunachotakiwa kukifanya ni kuwalinda kwa gharama yoyote ile,ili na wao,wajisikie,kuwa huru ndani ya nchi yao waliopewa na Mwenyezi Mungu.
 
Hata Amiri Jeshi Mkuu ni binadamu kama binadamu wengine,hivyo na yeye ana uchungu kama binadamu tunavyopatwa na uchungu pale tunapo ondokewa na ndugu zetu hata rafiki zetu.Hata kulia huwa inatokea automatic mtu huwezi kupanga kulia vinginevyo utakuwa unafanya Sanaa ya uwigizaji.
 
Back
Top Bottom