Bwana
Powder
Sio nia yangu kuleta picha hiyo uliyoijenga. Niwie radhi kama nimekwaza. Ila topic muhimu kwenye reply yangu ilikuwa ni kumjengea picha kuwa, hayuko peke yake. Sio muhanga pekee wa jambo la hasira, na niliazimia kumuelekeza pia,
Tupo pia ambao hasira zilituvunjia makubwa zaidi ya mahusiano. Ni namna tu ya kuanza kumnasihi mtu.
Aidha nilinuia pia kuelezea kila kitu kwenye post moja ila nadhani Tekno yangu haina speed ya kuridhisha.
Asante na niwie radhi Boss