Hasira zinaniharibia mahusiano

Siku nyingine unapo mwambia mwanaume neno (TUACHANE) tayari automatically linamuingia akilini na anaanza kuishi nalo kwamba haupo nae pamoja tena, sana anaweza akawa nawe kwa mazowea tu kwasababu wakato huo anakua hama mbadala wako.
Wee jamaa huwa una Maneno mazur Sana sema TU iyo avartar yako
Wengi huwa wanashindwa kukuchukulia Kama uko serious


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeeleza story mingi ambazo hazikua na umuhimu wowote, then ile topic ya Muhimu ambazo ni mbinu alizokupa Mwl umeziacha Makusudi......!

Then huu ndo umeuita mchango kwa huyu Binti...
Hizo mbinu bintimrembo anataambiwa amcheki pm.
Sasa hivi kila sehemu ni mwendo wa kutumia fursa tu.
 
Mbona username yako tayari inatueleza kwa nini huoni shida kumwambia mtu tuachane.....ungekuwa ng'ong'ozo wala usingekuwa na jeuri hiyo🤣🤣🤣🤣

We ndg upo?
Long time sana
 
Ok, pole ni kweli kuachana ktk mahusiano kunaumiza!
Sasa mie nakushauri hapo jitahidi kutafuta neno lingine la kumtamkia mpenzi wako lisiwe kumwambia tuachane, maana hilo neno lina mchomo mkali na kuna wengine ukishamtamkia hivyo, hapohapo na yeye anashika time zake serious, ndo hayo ukijirudi unakuta ashagwa kiwanja kwa mtu mwingine!
 
Ipo nguvu ya kuithibiti akili yako na sio mambo ya nje yako, Kuna muda hisia huondoa uhalisia na kuna muda unahitaji hisia ili kupata uhalisia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…