Hasira zinaniharibia mahusiano

Inawezekana ninachokosea pale napoficha udhaifu wangu kwakuogopa labda atanikimbia

Hapana usiwaze ivo ndomana nkauliza ivi mnakaa kwa mda gani mpaka kuingia kwenye mahusiano? Pia kuna njia nyingi nzuri za kutumia kufikisha ujumbe kwa mwenza wako na akakuelewa

Mfano babe wangu nikisha maliza ku sex
naye ndo huwa ananieleza jambo lake tena najikuta nqmsikiliza sana
 
Wewe ni Muhehe, Mnyaki, Mchaga au Mpare?

Kama sio wa makabila hayo nitaweza kukushauri cha kufanya, ila kama ni wa huko basi tumwachie Mungu tu...
 
Umeeleza story mingi ambazo hazikua na umuhimu wowote, then ile topic ya Muhimu ambazo ni mbinu alizokupa Mwl umeziacha Makusudi......!

Then huu ndo umeuita mchango kwa huyu Binti...
 
Mkuu saivi unakula na kulala kwa wazazi eeh? basi endelea kukaa apoapo usifanye chochote hizo hasira zitaisha zenyewe 2055
 
Umeeleza story mingi ambazo hazikua na umuhimu wowote, then ile topic ya Muhimu ambazo ni mbinu alizokupa Mwl umeziacha Makusudi......!

Then huu ndo umeuita mchango kwa huyu Binti...
Bwana Powder
Sio nia yangu kuleta picha hiyo uliyoijenga. Niwie radhi kama nimekwaza. Ila topic muhimu kwenye reply yangu ilikuwa ni kumjengea picha kuwa, hayuko peke yake. Sio muhanga pekee wa jambo la hasira, na niliazimia kumuelekeza pia,
Tupo pia ambao hasira zilituvunjia makubwa zaidi ya mahusiano. Ni namna tu ya kuanza kumnasihi mtu.

Aidha nilinuia pia kuelezea kila kitu kwenye post moja ila nadhani Tekno yangu haina speed ya kuridhisha.

Asante na niwie radhi Boss
 
Hakuna shida, umenifanya nijione siko peke tunaohitaj kupona
 
Unamaanisha nisihoj chochote hata kama kibaya
Kuna namna nzuri ya kuhoji jambo lolote, mpaka unaye mhoji hata kama alikuwa hajui anajiona mjinga na hata rudia tena huo udwanzi... au akirudia hata wewe utaamua kumwamcha na hutawaza kurudi tena, kwani mtakuwa mmemua.
 
Siku nyingine unapo mwambia mwanaume neno (TUACHANE) tayari automatically linamuingia akilini na anaanza kuishi nalo kwamba haupo nae pamoja tena, sana anaweza akawa nawe kwa mazowea tu kwasababu wakato huo anakua hama mbadala wako.
Kifupi hili neno aachane nalo kabisa kwenye mahusiano.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…