Hasira za Obama, duh!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Apa sijui kitu gani kilimkasirisha mpaka anaamua kupiga teke mlango!
"I am the President, damn it"!
obama.gif
 
Hiyo sio picha ya ukweli, ni kazi ya final cut pro 11 kwenye mac, kama photo shopinavyofanya kazi kwenye still photos.
Ha ha ha! Aisee Pascal mbona unakuwa mgumu kuamini, au kwa sababu ni Obama basi ndo lazima iwe kazi ya final cut pro 11 kwenye mac. Kwani Obama huwa hakasirikagi?
 
Hiyo sio picha ya ukweli, ni kazi ya final cut pro 11 kwenye mac, kama photo shopinavyofanya kazi kwenye still photos.
Pascal bana.........mbona mi ninayo clip ambayo kikwete anampiga kichwa luhanjo??.......si hasira tu banakama mtu anafanya madudu na anakukasirisha.
 
Pascal Mayalla, Final Cut Pro 11 ndo ipi hiyo hebu nieleweshe tafadhali

Ninachojua iliyopo ni Final Cut Pro X ambayo ni Version 10.0.1 sasa hii Version 11 imetoka lini mkuu?
 
Pascal Mayalla, Final Cut Pro 11 ndo ipi hiyo hebu nieleweshe tafadhali

Ninachojua iliyopo ni Final Cut Pro X ambayo ni Version 10.0.1 sasa hii Version 11 imetoka lini mkuu?
Labda Mkuu Pascal amepewa Beta version for testing/preview. As far as I know, the very latest update is V 10.0.2 as per mid November 2011. This update fixes, among others, an issue in which a title may revert to the default font after restarting Final Cut Pro X.
 
Back
Top Bottom