in god we trust...
Imani yako ndo inakuponesha
hahah uyo mtoto utakua hujamnywesha "kilorit" jaman! Maana namuona ana mori balaaAfadhali maana ninaye wa miezi minne tu ila hiyo hasira mpaka was worried kwa kweli maana anaweza kulia kilio cha hasira mpaka kwikwi!!!!!!!!
Akilala anaendelea kushusha pumzi na "sobbing" juu, sasa utaacha kushtuka hapo halafu wa kike sasa!!!!!!
Asanteni kwa ushauri!!!!!!!
soma tena miezi 18 siyo miaka 18. div 5kwa umri wake huyu inaonyesha ameshakuwa kimwili ila kiakili bado kidogo na anahitaji uhuru wa kidunia kidogo,muwe mnampa nafasi awe anatembea tembea kitaa huko,akishapewa mpini atajitambua yeye ni nani na anatakiwa akae vipi
Wana - JF, habari za asubuhi?
Naomba msaada wenu, nina mtoto wa kike, 18 months age, ana afya nzuri! shida yangu ni 1 tu, katika umri huu, anaonekana atakuja kuwa na hasira sana, dalili zinaonyesha atakuwa mtata sana, pia ana elements za utundu lakini hii sioni shida, najua ni stage tu ya makuzi.
Ila hili la hasira jamani, mpaka naogopa!
Wataalamu wa psychology, wazazi wenzangu na yeyote mwenye ushauri namna gani naweza kumsaidia binti yangu kupunguza kama sio kuondoa kabisa hasira!
Kama majuzi aisee nimeconfess kwa dogo...alikuwa analia sasa nikam-beba wakati mama ake anaoga, alivyorudi bafuni mi nikamlaza kitandani still akilia...basi mi nikaingia na hasira nikambebea tena akazidi kulia...aisee nikaanza kumpiga vibao mashavuni!! We alilia mlio ambao sikuwahi kuusikia!! Kama ana kwikwi hivi na pumzi zinamusiha!! Nikampiga tena vibao vya shavuni(Just mtoto wa miezi mi5 tu) basi alilia huyooooooo!! Nikambebea kumtoa nje...huko nako nikampa vibao vingiine..ikawa imetosha huku analia.
Basi huyu mtoto usiku nzima alilala huku anastuka stuka kila baada ya dk 2 yaani iliniuma sana...nilijuta kumpiga huyu mtoto!! Ingawa mama ake alinipa moyo kwamba ni kawaida tu kwa watoto ingawa watoto wa miezi hiyo hawajui chochote so hawastahili kupigwa, ukiwa na hasira we mwache nenda zako!! Mtoto usiku nzima hajalala vizuri kila mara anastuka tu. Nimejuta!!
kwa umri wake huyu inaonyesha ameshakuwa kimwili ila kiakili bado kidogo na anahitaji uhuru wa kidunia kidogo,muwe mnampa nafasi awe anatembea tembea kitaa huko,akishapewa mpini atajitambua yeye ni nani na anatakiwa akae vipi
Laiti mie ningelikua huyo mama watoto nisingekuacha na wewe ningekupiga vizuri tu....mtoto miezi 5 unampiga kama si dalila za kuwa mwaga kitu gani?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
What is not medical complication? Na nani kasema ukifanya maombi hautibiwi hospitali?Naunga mkono hoja 100% watu wapunguze bange za mawazo...........ukuta mtu ana medical complication ambayo akiwahi hospitalini inatibika anaambiwa fanya maombi,anajichelewesha hadi anafika hospitali kimeshaharika damn it ,siwafagilii hata kidogo watu wa staili hiyo
Labda kwa kuwa zinahusu watoto na mara nyingi thread za hivi huwa hazilet hasira hata wakati wa kuchangiaThread kama hizi huwa naenjoy sana kusoma! Naskia raaha sijui kwanini!! Loh!
Wow wow wow..seriouslyHivi ni nani anawadanganya kila kitu ni maombi??? Jamani hii kitu "Maombi" nadhani mbeleni itakuwa Janga la Taifa. For SURE!!
We nae. .Saikolojia sivyo unavyoiwaza chalii. .ni pana na ndiyo tunayoiishi. Nadhani jamaa ameshakuelekezaSiku hizi bana kitu kidogo eti saikoloj lol tushakua wa kimjin zaidi,
Thread kama hizi huwa naenjoy sana kusoma! Naskia raaha sijui kwanini!! Loh!
What is not medical complication? Na nani kasema ukifanya maombi hautibiwi hospitali?
Anyway ngoja nikuache, lkn nina uhakika wewe ukijikwaa tu utalia "Mungu wangu".
hahah uyo mtoto utakua hujamnywesha "kilorit" jaman! Maana namuona ana mori balaa
akiwa na hasira anaweza akajitupa chini bila kujali amekaa wapi! anatupa ama kubamiza chochote ambacho ameshika ama kipo karibu na yeye, kulia kwa sauti kali (na amebarikiwa sauti kali), kumfinya aliyembeba, kutapa tapa kama amebebwa na wakati mwingine inabidi uliembeba uwe na nguvu ya ziada coz ana weight ya kutosha! kwa upande wa sababu ni za kawaida tu mf. unamtoa karibu na tv na yeye hataki ama unamnyang'nya kitu hatarishi!
Labda kwa kuwa zinahusu watoto na mara nyingi thread za hivi huwa hazilet hasira hata wakati wa kuchangia
Utakuwa mama kijacho(mtarajiwa) wewe!!
hahahaha! Em ngoja nijichunguze !!!