~ Hasira ya Baba ` Hadithi mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

~ Hasira ya Baba ` Hadithi mpya

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee Mwanakijiji, Aug 19, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Hadithi mpya ya kusisimua ya "Hasira ya Baba" imeanza. Utaipata kwenye toleo la kijarida cha Cheche za Fikra ikiwa ni sehemu ya kwanza. Sule Chitete amefurahia kupata watoto wawili wa kike, Shukuru na Majaliwa. Baadaye akapata mtoto wake wa kiume baada ya kungojea sana, wakamuita Sifa. Sifa alipendwa na kila mtu kijijini, isipokuwa baba yake....
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  safi sana Mzee Mwanakijiji hatimae umetukumbuka .
   
 3. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah!!! hadithi bomba sana hii, naisubiri kwa hamu kubwa iendelee wiki ijayo. :A S 41::A S 41:
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  siwezi kuwasahau.. vinginevyo mafisadi watashinda!
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nasubiria kwa hamu....
   
 6. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  :confused2:
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Na wewe mtunzi unaisubiri:sleepy:
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280

  si ndiyo... kwa sababu.. bado inaandikwa na kama kutoka mbali mwisho wake unanivutia hata mimi!!
   
 9. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ... Nahisi sehemu ijayo itakuwa kali zaidi!! Waiting so much to read it!!
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  kwa wenye mioyo mpyepesi wasianze hata kuisoma au kama wameanza wasisome toleo lijalo... NI ONYO....
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Aug 20, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Asante sana MKJJ kwa kutukumbuka, maana ile nyingine sijui iliishia wapi!
   
 12. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  hee! hi hadithi!!
   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  ile nyingine ingezua ugomvi.. labda one of these days..
   
 14. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Dah Heading kama nisinge kuwa na subira ya kwenda kuangalia mpaka chini...ningekushambulia mzee...kwamba niaje...wewe kutuwekea siasi kwenye mapenzi..by the way....Thanks...
   
 15. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Naogopa kuanza kusoma usije ukatupokonya tonge mdomoni kama wakati ule:mad2::mad2::mad2::mad2::becky:
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Aug 27, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280

  usiogope ile nyingine najua wewe ungeipenda sana! ndio maana nikawanyang'anya tonge ila I promise nitaimalizia tu..
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Aug 27, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Imalizie mkuu!
   
 18. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #18
  Aug 27, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  na moyo wangu mwepesi,nitaweza kweli?
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  Aug 27, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  jitahidi tu, yote "yanawezekana kwa yule aaminiye"
   
 20. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  MMK hii hadithi:becky::becky: hahaha
  sasa ndo imeishia hapo?hakuna juzuu zingine?
   
Loading...