Hashim Juma Issa kutoka Zanzibar ndiye Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA

Wewe ndo Ntagazwa?

Aliyeshinda ametangazwa, kama hukubaliani kakate rufaa kwa Kinana, huu si uchaguzi wa ccm hutaki ngojea wenu wa wakiccm.

Hayo matokeo yalipangwa, ndio maana slaa akafuta ushindi wa Ntagazwa.
 
Plato hauaminiki hata kidogo na hapa unataka kupotosha watu eti nawe ulikuwa sehemu ya wajumbe;hauna lolote wewe si sehemu ya wajumbe wa mkutano Mkuu
 
vibaraka wa sisiemu mnahangaika sana,

mara ooh chadema cha kidini kimeanzia kaskazini, msee kimesera wakina makani ni wa kaskazini??
Mara ohh chama cha kidini kikristo tu maana yake wakristo woote wanaisapoti chadema?? Kama ndivyo basi kilishinda 2010,
mara ooh chama hakijakaguliwa mahesabu, haya taarifa ilitolewa mbona hamhoji ya ukaguzi wenu wa sisiemu na kibaraka wenu??

Ooh nafasi ya mwenyekiti kila wakati haina mpinzani, haya watu wameshajitokeza, lakini kiwkwete 2005 alipingwa na nani nafasi hiyo??

Mara oooh uchaguzi haufanyika katiba imesiginwa, uchaguzi huoo uanendelea tunaeleka taifa sasa, bado ohh uchaguzi wa kupanga, mara fulani ndio kashinda sasa nyinyi hata chadema ikiboronga si ndio vizuri, ni hatari sana kujiaminisha huyu amekufa lakini bado unaingia gharama za kumuua marehemu basi wewe utakuwa punguani na kichaa kabisa,
sisiemu haina tofauti na majini..., huwezi sema chama fulani ni cha kidini au kikabila kama wewe si muumini wa udini au ukabila.
 
Kwa nini dr.slaa alifuta ushindi wa Ntagazwa?
 
Yericko, anasema kila propaganda inajibiwa kidemokrasi? maana yake uchaguzi wa huyu muislamu ni kutaka kujibu propaganda ya ukristo kuliko uwezo. hapo umetoa taarifa bila kujijua. pia uchaguzi huu jana ulifutwa na kurudiwa mara mbili. mzee ntagazwa alishinda,akaambiwa kura hazijavuka asilimia 50.ajabu hata huyu ametangazwa wakati naye alipata simple majority.
nilipost humu taarifa nikiwa chooni kutokana na udhibiti wa mawasiliano uliowekwa lakini ajabu post ile ilifutwa ndani ya dak 2. sijui kwa nini wana jamvi walinyimwa habari ile.
jericko natamani propaganda ijibiwe kidemokrasia kwenye nafasi nyeti za mwenyekiti na katibu mkuu. nikukumbushe propaganda zenyewe. mosi ni ukaskazini,na ukristo. tuone kama hiyo itajibiwa kwa demokrasia.yaani tupate katibu mkuu na mwenyekiti waislamu na wasiotoka kaskazini. tutakuwa tumejibu once and for all propaganda.
after all tayari mzee ntagazwa amewasilisha barua kupinga matokeo. sijui kwa nini makene hakusema pia kuwa hakuyakubali matokeo pale ukumbini.
Chadema inaendeshwa kwa mkono wa chuma sasa kwa nini wamempora ushindi Ntagazwa, kisha wamempa mpemba kwa nguvu.
 
Indiketa hiyo. nani alidhani huyu mtu asiyefahamika hata kwa mtu mmoja awe mwenyekiti?
tafsiri yangu: ama ni uchaguzi wa kupangwa ili kuwa na watu weak, ama kama ni matokeo halali,basi wapiga kura wametuma ujumbe hasa kwa viongozi incumbent kuwa watachagua watu wa kwenye periphery.
ngoja tusubiri abrakadabra za uchaguzi wa bavicha.

ACT uchaguzi lini?
 
Chadema inaendeshwa kwa mkono wa chuma sasa kwa nini wamempora ushindi Ntagazwa, kisha wamempa mpemba kwa nguvu.

Ushauri wa bure. kama mnadhani kaonewa na mnaushahidi wa kweli mwambieni aende mahakamani.

Na kisha mkatowe ushahidi na pia mpatieni mawakili wa bure.
 
Ni matokeo yanayoonesha kuzidi kuimarika kwa chama. Chadema Sasa iko kwenye nafasi nzuri ya kushika Dola.
Ova.
 
Wana jamvi habari zenu,

Matokeo ya baraza la wazee CHADEMA taifa jana nimeyafurahia sana maana yamekuja kufuta dhana pofu na propaganda chafu za udini,ukanda na ukabila dhidi ya CHADEMA zinazosambazwa kwa makusudi na mahasimu wa demokrasia na CHADEMA Tanzania.

Jana demokrasia ndani ya CHADEMA imeamua na kufuta maneno ya maasimu wa CHADEMA wanaotumia kigezo cha dini,ukanda na ukabila kuichafua CHADEMA.

Ama hakika CHADEMA ina Mungu waongo wameanza kuumbuka CHADEMA inasonga mbele propaganda kwishaa sasa CHADEMA imevuka bahari na kutua Zanzibar udini,ukabila na ukanda kwishaaa!

Mahasimu wa CHADEMA wakajipange upya propaganda zao kwishenei.
 
Pole sana Ntagazwa, ndiyo siasa zilivyo walichofanya Chadema ni kutaka kuwalaghai Wazanzibari, safu yote ya juu ya Chadema kumejaa watu wa dini moja wakaona ngoja wampe hii nafasi mpemba ili wazuge.
 
Siasa raha sana leo pro-Chadema wamegeuka kuwa watetezi wa Zanzibar.

Kwi kwi kwi kwi!

Sio leo tu, kila siku ndo maana tunataka serikali tatu,

1. Zanzibar iwe na uhuru kamili na serikali yake

2. Tanganyika itoke hadharni isijifunike blanketi la muungano, tuwe na serikali ya Tanganyika

3. Tuwe na serikali ya Jamhuri

Hapo tutashirikiana kwa makubaliano safiiiiii badala ya kulazimishana inakofanya ccm.
 
Back
Top Bottom