Hashim Dogo akutana na Nash Mc

Namkumbuka na jamaa mmoja alikuwa akiitea KIBACHA au KBC nae mwisho alifanya shooting ambayo kwa wakati ule ilikuwa kali sana,na alikuwa mkali pia,sijui yupo wapi.
 
Hashim dogo ni moja kati ya ma mc ambaye alikua na uwezo mkubwa wa kupanga vina. ... Akifuatiwa kwa mbali...na Imamu Abbas....fanani wa ukweli ...japo Hawa wote hawakupata bahati ya kukuza carrier zao kutokana na changamoto tofaut tofaut za kimaisha .. but to be frank walikua na uwezo mkubwa Sana ...wanastahili heshima kubwa Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
hashimu bado anaandika sema amekuwa copy writer badhi ya matangazo kwenye tv na kwenye radio ni kazi yake huwa anafanya kazi na agency za matangazo
 
Back
Top Bottom