Hashim Dogo akutana na Nash Mc

Hasheem_Dogo_&_J.C.B_Freestyle.mp3
 

Attachments

  • Hasheem_Dogo & J.C.B_Freestyle.mp3
    2.6 MB · Views: 12
Nash Emcee a.k.a uchebe chaka. Chizi wa mitihani.

Binafsi napenda flow ya Nash. I enjoy his rap.

-Kaveli-
 
"In the shadow of a dark destiny"

"HIV.i vitu viko wazi, kama vazi la kahaba
Nasambaza maradhi, halafu nakupa siku saba"

Hashimu nilikutana naye akaniambia alikuwa anazungumzia HIV hapo, nikaona ana mashairi ya sanaa kali sana.


Sent using Jamii Forums mobile app

Tumefarijika kuwa na wewe Mzee hapa kijiwe cha Hip Hop
 
Back
Top Bottom