Anamiliki paspoti ya nchi gani kama ni USA imekula kwake,shida hatuna uraia wa nchi MbiliHasheem Thabeet ni Mtanzania aliyezaliwa tarehe 16 February 1987. Ni mchezaji wa mpira wa kikapu ambaye ni hazina kwa Taifa letu. Licha ya muda wake mwingi kuutumia nchini Marekani katika timu ya Memphis Grizzlies, endapo Thabeet ataamua kuendeleza kipaji chake kwa kuwainua vijana wa Tanzania, anaweza kutengeneza timu nzuri ya mpira wa kikapu hapa nchini. Kama ilivyo kwa wenzake waliopewa viwanja, naamini Hasheem Thabeet anaweza pia kupata ardhi nzuri mkoani Dodoma na kuangusha mjengo wa maana. Mtaa wa Wanamichezo ukajijenga mkoani Dodoma.
Nelson,
SUA-Morogoro
View attachment 1054203
Kaa hukohuko ule unavyokula ukirudi huku utangoja miaka 40 kutambuliwa mchango wako na kupata zawadi ambayo wakati huo itakuwa haina thamani. Tino angezawadiwa kiasi hicho wakati wake angetajirika. Juzi amepewa sawa na mshahara wa wiki mbili wa mtoaji.
Huyo dogo alipata bichwa baada ya kupata namba NBA akaleta ubishoo fasta wakamtema hivi sasa amebaki kupiga picha tu huko kwa Trump.Kwa sasa yuko timu gani?
Hivi ni Jitegemee au Makongo?Unamzungumzia huyu aliyemaliza Jitegemee? Aliyekwenda US ukubwani na sasa akija anaigiza kusahau kiswahili? Hapo kichwani kuna tatizo! Miaka yote hiyo hujawahi kugundua kwamba mtu huyu hajitambui? Linganisha na Dikembe Mutombo wa DRC.
Ok , kuwavutia wengine YY kama Hashim itamsaidia NN ?Ya kupewa inanoga sana. Ya kununua wenyewe kila mtu anaweza kununua. Ukipewa unawavutia na wengine
Yes amefanikiwa kutoka mchangani Dsm mpaka US then Japan , kafanikiwa Sana , kudos hasheemKama demotion ni mafanikio basi huyu dogo kafanikiwa..🙂
Ushamba kuongea kiingereza mkuu ? Yaani ww unataka umpangie mtu aongee unavyotaka wwNiliwahi kumsikiliza alirudi likizo,alikuwa anaongea Kiswahili cha Marekani ,nilishangaa sana,nilimuona ana majivuno,limbukeni,...Kitaalamu tunasema Hajitambui(sijui sasa) Ingekuwa ni maajabu makubwa kama angeendelea kutamba kwenye kile kilichomuinua,kwa kiwango kile cha ushamba!
Watanzania tunapenda majungu na usnichwatanzania wanapenda sana kupangia watu matumizi
Huko Dodoma hata bila kupewa ardhi anaweza akawa na viwanja kadhaa maana baba yake ana asili ya Dodoma na alishafanya kazi miaka ile iliyopita mpaka miaka ya 90 kuelekea 2000 kwenye taasisi zenye unasaba na CDA ambapo watumishi wote walikuwa wana viwanja vya kutosha kwenye maeneo yote mazuri ya mji wa Dodoma na wengine wamewachukulia mpaka watoto waoNaamini huyu kijana akikumbuka tu home this year, analamba ardhi Dodoma. Halafu kujenga atachukua muda mchache tu maana mpunga anao
Lakini mkwanja anao ndio maana mpaka sasa yupo huko maana siku zote ng'ombe hata akonde vipi hawezi fanana na sunguraHuyo dogo alipata bichwa baada ya kupata namba NBA akaleta ubishoo fasta wakamtema hivi sasa amebaki kupiga picha tu huko kwa Trump.
Hasheem Thabeet ni Mtanzania aliyezaliwa tarehe 16 February 1987. Ni mchezaji wa mpira wa kikapu ambaye ni hazina kwa Taifa letu. Licha ya muda wake mwingi kuutumia nchini Marekani katika timu ya Memphis Grizzlies, endapo Thabeet ataamua kuendeleza kipaji chake kwa kuwainua vijana wa Tanzania, anaweza kutengeneza timu nzuri ya mpira wa kikapu hapa nchini. Kama ilivyo kwa wenzake waliopewa viwanja, naamini Hasheem Thabeet anaweza pia kupata ardhi nzuri mkoani Dodoma na kuangusha mjengo wa maana. Mtaa wa Wanamichezo ukajijenga mkoani Dodoma.
Nelson,
SUA-Morogoro
View attachment 1054203
Umeongea ukweli braza, mi sikutaka kulisems hiliHuko Dodoma hata bila kupewa ardhi anaweza akawa na viwanja kadhaa maana baba yake ana asili ya Dodoma na alishafanya kazi miaka ile iliyopita mpaka miaka ya 90 kuelekea 2000 kwenye taasisi zenye unasaba na CDA ambapo watumishi wote walikuwa wana viwanja vya kutosha kwenye maeneo yote mazuri ya mji wa Dodoma na wengine wamewachukulia mpaka watoto wao
Serious?Huyo mtu wenu alishafeli,kachezea shilingi chooni.
Dah! That's lifeJamani watanzania tuwe na huruma. Hali ya Hasheem ni mbaya sana kifedha. KWa sasa anafanya kazi za kubangaiza Japan. Analipwa hela dogo sana. Anakuja Dar siku hizi anajificha siyo kama zamani
Kabisaa mkuu.Hyu sio wa level ya ardhi, ardhi ni kitu kidgo sana kwake, kwa mpunga alionao anaweza akanunua ardhi ya kutosha kwa pesa yake binafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliuzwaga Japan, baada ya hapo cjamsikia tena.Kwa sasa yuko timu gani?
Hasheem kasanda mkuu,era yake imepita,alipata shot kaharibu,liwe funzo kwa wengine,jamaa alipata fedha sana mwaka 2009 -2010 alifanya kufuru,alinunua hummer akanunua Range Rover Vogue,kutwa yupo TZ show off Mlimani city na kina JOKATE,kutwa kushinda CLUB kunywa pombe na kupigana na kina TID wakati wenzake wapo Camp wanafanya Mazoezi 24 hrs.Serious?