Hasheem Thabeet's Journey In The NBA

Hashim kitu amenifurahisha ameanza ku score, hiyo itampa confidence kubwa kuendelea na moto wa ku score, kitu muhimu kwa any player awe basketballer or footballer ni ku score, maana unakuta mchezaji amesajiliwa na inapita muda haja score ina mletea matatizo ya kisaikolojia
 
Mungu amsaidie apone haraka, bahati nzuri hajavunjika mkono au mguu au kiuno
 
mwambieni ajiunge JF asome pole zetu, aache utozi dogo...pole kijana, ndo uanaume huo!!
 
Hashim kitu amenifurahisha ameanza ku score, hiyo itampa confidence kubwa kuendelea na moto wa ku score, kitu muhimu kwa any player awe basketballer or footballer ni ku score, maana unakuta mchezaji amesajiliwa na inapita muda haja score ina mletea matatizo ya kisaikolojia

Kamanda unaongelea Hasheem yupi? Maana Hasheem wa MEM amecheza dk 42 so far na ana vikapu viwili tu! ( 4 points). Marc Gasol gemu na Blazers amepiga points 20 peke yake sasa hapo sijui tusemeje? Blocks anajitahidi lakini bado sana!

Kiukweli dogo inabidi akaze buti kama anataka ku-establish jina ktk NBA.
 
212d1d928688bf1595d675fa3d526026-getty-90040805jm001_blazers_grizz.jpg

MEMPHIS, TN - NOVEMBER 10: Drew Graham Head Athletic Trainer of the Memphis Grizzlies treats Hasheem Thabeet(notes) #34 of the Memphis Grizzlies during a game against the Portland Trail Blazers on November 10, 2009 at FedExForum in Memphis, Tennessee.

capt.45b0d374367345c3b46b0d6d626e5732.trail_blazers_grizzlies_basketball_tnas106.jpg

Hasheem I wish you a speedy recovery.

All the same, all sports are inherently barbaric, see what I mean?
 
Kamanda unaongelea Hasheem yupi? Maana Hasheem wa MEM amecheza dk 42 so far na ana vikapu viwili tu! ( 4 points). Marc Gasol gemu na Blazers amepiga points 20 peke yake sasa hapo sijui tusemeje? Blocks anajitahidi lakini bado sana!

Kiukweli dogo inabidi akaze buti kama anataka ku-establish jina ktk NBA.

Tangu season imeanza hajaonyesha makali kama rookies wenzake walivyoonyesha kwenye timu nyingine na hasa ukizingatia kwamba alikuwa second pick. Inabidi atuonyeshe kwanini alikuwa second pick. Ni center ambaye ana advantage ya urefu na mwili pia.

Kumlinganisha na Marc Gasol tutakuwa hatumtendei haki kwa kuwa Marc Gasol alishacheza ligi ya Basket ya Spain kabla ya kuja huku US na tayari hapa US ana seasons 3 kama sikosei. Tumpe kijana muda zaidi, atuonyeshe kwanini aliwahi kuchaguliwa kuwa defender mzuri kwenye NCAA.

Ninamtakia kila la heri katika career yake ya Basketball.
 
mwambieni ajiunge JF asome pole zetu, aache utozi dogo...pole kijana, ndo uanaume huo!!

Ukisikia kujikombakomba ndo huku sasa...
JF sio kitivo cha pole.
Narudia tena kuwaambia Pole ingekuwa dawa basi Muhimbili isingejengwa.
 
Tangu season imeanza hajaonyesha makali kama rookies wenzake walivyoonyesha kwenye timu nyingine na hasa ukizingatia kwamba alikuwa second pick. Inabidi atuonyeshe kwanini alikuwa second pick. Ni center ambaye ana advantage ya urefu na mwili pia.

Taib kiongozi. Ukiwa 2nd pick lazima uoneshe some splashes of brilliance au sio?

Kumlinganisha na Marc Gasol tutakuwa hatumtendei haki kwa kuwa Marc Gasol alishacheza ligi ya Basket ya Spain kabla ya kuja huku US na tayari hapa US ana seasons 3 kama sikosei. Tumpe kijana muda zaidi, atuonyeshe kwanini aliwahi kuchaguliwa kuwa defender mzuri kwenye NCAA.

Hapana. Sijamlinganisha na Gasol. Kuna mdau alidai eti Hasheem ameanza 'kuscore' nikamwambia kuwa dogo so far ana points 4 ktk dk 42 alizocheza, na huku kamamndio ku-score utamueleza vipi Gasol ambaye gemu ya jana amepiga points 20 peke yake? Nimemtaja Gasol makusudi kwa maana wanakipiga wote ktk timu ileile(conrolled environment) na nafasi ileile ingawa amecheza dk 200+ kama sikosei.
 
Back
Top Bottom