Hasheem Thabeet Recap - 2nd season in the NBA

Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
984
128
He is no longer a rookie!

Second season yake ya NBA ndio hiyo inayoyoma. So why is our so young promising first-ever-NBAer still struggling?

Is it:
-Physical fitness?
- Mental fitness?
-Skills issue?
-Or just competition ya number hiko so tough?

Below are his recent statistics pulled from the NBA website

2010 - 2011 Statistics

PPG 1.1
RPG 1.60
APG 0.1
EFF +2.16
 
I know! Hali si shwari kwa kweli kwa baller wetu. Hasipokuwa makini Memphis wata-drop contract yake. Na once contract ikiwa dropped, itakuwa ngumu sana ku-secure nyingine. Kwa tunaofuatilia NBA tumeshuhudia other high drafted players walivyotupwa baada ya ku-flop.
 
He is no longer a rookie!

Second season yake ya NBA ndio hiyo inayoyoma. So why is our so young promising first-ever-NBAer still struggling?

Is it:
-Physical fitness?
- Mental fitness?
-Skills issue?
-Or just competition ya number hiko so tough?

Below are his recent statistics pulled from the NBA website

2010 - 2011 Statistics
PPG 1.1
RPG 1.60
APG 0.1
EFF +2.16

We need to show some love and support to Hasheem.. At least we have a guy in the NBA. I'm pretty certain that if he gets traded to another franchise, and work with another coaching staff (like Patrick Ewing), he'll improve tremendously. Go Hasheem
 
The problem is that,he is being too much a baller than a ball player.
 
We need to show some love and support to Hasheem.. At least we have a guy in the NBA. I'm pretty certain that if he gets traded to another franchise, and work with another coaching staff (like Patrick Ewing), he'll improve tremendously. Go Hasheem

We are showing the love ndio maana tunakuwa concerned na performance yake. Ameiweka nchi yetu kwenye ramani ya michezo, kwa hiyo uendelezo wake kwenye NBA ni furaha yetu, na sio otherwise.

I'm pretty certain that if he gets traded to another franchise, and work with another coaching staff (like Patrick Ewing), he'll improve tremendously. Go Hasheem

I agree. Lakini ili aweze kupata nafasi kwenda timu nyingine inabida aonyeshe some potentials kwenye timu aliyopo, au?

Kitu ambacho nime-notice ni ukosefu wa enough playing time. Pengine labda ange-improve kwa kasi kama angekuwa anacheza regular. Kwa hiyo kuna uwezekano kuwa competition ya namba ni kubwa sana pale Memphis
 
Mauno ya Jokate hayo.Inabidi akae Mbali na Jokate apo ndo ataweza kuperform Otherwise ataporomoka tu akuna Jinsi.Mchawi wa Hasheem ni Yeye Mwenyewe
 
bb6.jpg
 
Jamaa ana hali mbaya kweli, mimi nadhani Memphis coaching is crap, jamaa anacheza like 2 min a game, sasa ataimprove vipi! Confidence inazidi kuporomoka tu. Natamani we traded kweli.

Edit: Nimeangalia stats naona jana kacheza sekunde 0??? Imekuwaje wamemwingiza secunde ya mwisho? Crap kweli.
 
Back
Top Bottom