Hasheem Thabeet naona Oklahoma namba yake imeshachukuliwa na yoso


Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
43,027
Likes
18,151
Points
280
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
43,027 18,151 280
Hili swala nalipa nafasi ndogo sana kwa sababu wakati yuko chuo alikuwa mchezaji mzuri sana sana mpaka kufikia kuwa drafted namba 2, na alifanya vizuri kwa urefu wake huu huu.
Hujaangalia ukweli kwamba alipokuwa chuo alikuwa anacheza katika mazingira tofauti. Huwezi kulinganisha college na NBA.

Hujaangalia kwamba inawezekana akawa na matatizo ya kiafya yanayoendana au yaliyosababisha urefu huo (kuna watu wana matezi yanayowafanya wawe warefu isivyo kawaida) ambayo yanaongezeka kadiri muda unavyoongezeka na kumpa complications zaidi with time.

Mambo ni mengi sana, tusiwe wepesi wa kusemea mambo ambayo hatuyajui vizuri.
 
Raimundo

Raimundo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2009
Messages
13,528
Likes
10,970
Points
280
Raimundo

Raimundo

JF-Expert Member
Joined May 23, 2009
13,528 10,970 280
Hujaangalia ukweli kwamba alipokuwa chuo alikuwa anacheza katika mazingira tofauti. Huwezi kulinganisha college na NBA.

Hujaangalia kwamba inawezekana akawa na matatizo ya kiafya yanayoendana au yaliyosababisha urefu huo (kuna watu wana matezi yanayowafanya wawe warefu isivyo kawaida) ambayo yanaongezeka kadiri muda unavyoongezeka na kumpa complications zaidi with time.

Mambo ni mengi sana, tusiwe wepesi wa kusemea mambo ambayo hatuyajui vizuri.
Mimi siko vizuri hasa linapokuja swala la kujadiri nadharia, kwa sababu hashimu sio pekee mwenye urefu huo kucheza NBA, isipokuwa naona kama failure inakuwa supplemented na vitu ambavyo typically ni nje ya uwezo wa binadamu, na hii ni kama kutafuta excuse baada ya kufeli!

Otherwise ningesema kwamba jamaa hajitumi, au kwa sababu Basket kaicheza ukubwani skills sio za kutosha, ila urefu no. Bado naendelea kuamini akipata timu za level ndogo mfano Milwakee, Pelicans na Bobcats anaweza kupata namba reguraly na akawa vizuri.
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
43,027
Likes
18,151
Points
280
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
43,027 18,151 280
Mimi siko vizuri hasa linapokuja swala la kujadiri nadharia,
Ukishaanza kumjadili Hasheem, maadam huna direct access naye, tayari ushajadili (siyo jadiri) nadharia.

kwa sababu hashimu sio pekee mwenye urefu huo kucheza NBA,
Hasheem ndiye mchezaji mrefu kuliko wote NBA kwa sasa, na hivyo, ndiye mchezaji pekee mwenye urefu wake.

Na hata kama isingekuwa hivyo, kuwa na urefu unnatural kwa sababu ya glands kwenda arijojo si lazima uwe mrefu kuliko wote.

You are missing my point.

Who currently is the tallest player in the NBA?

isipokuwa naona kama failure inakuwa supplemented na vitu ambavyo typically ni nje ya uwezo wa binadamu, na hii ni kama kutafuta excuse baada ya kufeli!
Umeanza kwa kusema wewe si mzuri katika kujadili nadharia, nikafikiri kwa kujua hilo hutataka kujikita katika nadharia, naona unarudi mulemule kwenye nadharia. Hicho ulichoandika hapo juu ni nadharia au si nadharia?

Otherwise ningesema kwamba jamaa hajitumi, au kwa sababu Basket kaicheza ukubwani skills sio za kutosha, ila urefu no.
You are totally missing my point, my angle is not urefu tu, naongelea urefu unaoweza kutokana na mtation/ matatizo ya kiafya yanayoweza kuendana na mengine ambayo, kwa sababu habari za afya ya mtu ni faragha yake, tunaweza tusiyajue. Hasheem is not of average height, why are you thionking of him in average terms?

Bado naendelea kuamini akipata timu za level ndogo mfano Milwakee, Pelicans na Bobcats anaweza kupata namba reguraly na akawa vizuri.
Umeanza kwa kusema sio mzuri katika nadharia, halafu unajikita kutuambia unachoamini.

Unajichanganya.
 
Mkalibari

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Messages
653
Likes
149
Points
60
Mkalibari

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2012
653 149 60
U are wrong in a wrong way..lugha zuna tofauti ndio mana kuna mother tongue, first and last languages. Which means the most fluent language u spoke from your childhood is mostly expected to have it as ya first and foremost language
Sasa na wewe lugha yako ni ipi mbona hueleweki au mnapenda kuwasema wengine tu.
 
Mkalibari

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Messages
653
Likes
149
Points
60
Mkalibari

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2012
653 149 60
Mkuu hutaweza kunielewa kwa sababu unaiangalia hii in a very narrow perspective, jaribu kutoka nje ya boksi ok:

Mwingereza akiongea kihehe kwa lafudhi ya kihehe atasifiwa na labda kuandikwa mpaka gazetini, Vivyo hivyo kwa Mmarekani akiongea kimakonde. Ukimkuta mjapani anachapa kisafwa fasaha na mfano wewe ni msafwa vipi utavojisikia raha kufanya nae conversation???? Mkuu wachina tu pale bongo wanaochapa kiswahili fasaha wanafurahiwa kwa sana. Hapa wiki iliyopita tumeona vijisentensi kadhaa tu vya kiswahili vikionglewa huko Sauzi watu wanavyotoa sifa.

Sasa tabu inakuja mmbongo akiongea kama mwingereza au mmarekani hiyo inaonekana ni kufuru tena dhambi that's why ninaiita hii concept ni non sense! Nadhani unanipata sasa!! Lakini sijawahi kusikia mtu anasema da yule jamaa mshamba sana kwa sababu anaongea kifaransa kama wafaransa au kinyarwanda kama wanyarwanda, au kireno kama wareno. Kwa nini ni kwenye english tu ndiyo maana narudia tena hii "non sense" inatokana na kuamini kuwa kuna lugha inferior na zingine superior!
Mkuu chukua tano! Mimi sio nabii wala nini lakini nahisi wewe utakua na akili nyingi sana...big up! Ebu waeleweshe hao mapunga zeze!
 
rubaman

rubaman

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Messages
4,823
Likes
1,065
Points
280
Age
99
rubaman

rubaman

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2011
4,823 1,065 280
Hapa ndiyo wabongo "mnaponichoshaga", ukienda leo usukumani ukaongea kisukuma cha kuunga unga kwa lafudhi ya kiswahili utakuwa perceived kuwa unaringa lakini ukiongea kiingereza kwa lafudhi ya kiswahili kama akina JK, Makinda etc. unaonekana hujui, ukiongea kiingereza kwa lafudhi ya kimtoni eti ni ushamba. Where does this non sense stop at? Nnachokiona hapo ni tatizo lile lile tulilonalo siku zote kwamba kuna lugha superior na nyingine infeior.

Ili kuwa fair huyu dogo mumjadili kwa content of his character na kumshauri nini cha kufanya.......
Bravo....
 
bona

bona

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2009
Messages
3,803
Likes
197
Points
160
bona

bona

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2009
3,803 197 160
Dogo ndie mchezaji mrefu kuliko wote NBA kwa sasa.
Dogo anaweza kucheza defense kumshinda hata Roy Hibbert.
Dogo ana so much potential. He's a diamond in the rough, and it's just a matter of time before he can unleash his enormous basketball IQ
wewe unamjua roy hibbert wa pacers aliyemdhibiti king james NBA final mwaka jana mpaka ikafika game 7????? stop being disrespectiful kwa kulinganisha hashim na huyu jamaa!!!! juzi nimeangalia game yao na lakers dogo alisugua benchi dakika za mwisho ndo akaingizwa akafunga point 2 tu na pamoja na urefu wake wote alipigwa block moja ya maana!!!!
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
9,578
Likes
11,949
Points
280
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
9,578 11,949 280
Arudi Bongo aje kupiga picha na Mkulu.
 
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
8,485
Likes
2,819
Points
280
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
8,485 2,819 280
wewe unamjua roy hibbert wa pacers aliyemdhibiti king james NBA final mwaka jana mpaka ikafika game 7????? stop being disrespectiful kwa kulinganisha hashim na huyu jamaa!!!! juzi nimeangalia game yao na lakers dogo alisugua benchi dakika za mwisho ndo akaingizwa akafunga point 2 tu na pamoja na urefu wake wote alipigwa block moja ya maana!!!!
Dogo anamfunika Roy Hibbert kwenye defense/blocks
 
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
7,413
Likes
5,602
Points
280
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
7,413 5,602 280
!
!
ajabu wakienda india hawarudi wakiongea kiswahili cha kihindi au kihindi kabisa, sijui kwa nini
I like ur name bloke!! kamojatu
Watu wengi wakienda huko ulaya au amerika huwa wana jiona wamechenji kimaisha mi wananikera sana. Ni ishara ya ushamba na upumbafu.

Ingekuwa ni hivyo hawa ndugu zetu aboriginals wangekuwa wazungu(australian indeginous). Lakini huez amini, hawana mpango na wazungu wala kujisemesha "u know", "yes yes" walaaa wao ni kinyumbani tu. Sasa sisi unakuja 2-3years una lafudhi ya kizungu  USHAMBA
 

Forum statistics

Threads 1,263,839
Members 486,093
Posts 30,165,756