Hasheem Thabeet asajiliwa Detroit Pistons

Hasheem Thabeet asajiliwa Detroit Pistons

Duuuh! ni kwel hyo salary ni ndogo

Mshahara anaopata ni mkubwa sana ukilinganisha na kiwango chake kilivyo cha chini. Kwa pesa ya Tanzania hapo hesabu ni billioni. Lakini ujue hiyo ni hesabu ya jumla tu bado makato ambayo ni:
  • Federal Tax
  • State Taz
  • Local Tax
  • NBA Tax
  • Agency Tax
  • Gharama nyingine kimchezo
  • Ana mtoto hivyo kuna child support.
Marekani ukishakuwa na kipato kinachojulikana macho yote hutumbuliwa huko kuanzia serikali, makampuni na kila mtu.

Wasichana wa kimarekani wako makini kuchomekea mrija wa kimapenzi na watafanya kila wawezacho kukwepesha kinga ili kuzaa mtoto kwani marekani mtoto ni pato kwa malipo ya child support. Child support inategemea kadiri ya pato la mtu, hivyo malipo hufanyika kwa % ya pato, utaona msichana aliyezaa naye anatumbua maisha tu kwa kwenda mbele. Sina hakika msichana aliyezaa naye ni mbongo au mmarekani.

10326427_548549568596000_1099356220_n (1).jpg bee6.jpg ff3.jpg
One BA reader dishes the tea on OKC Thunder player Hasheem Thabeet and his seemingly fairytale relationship with longtime girlfriend. Looks like things may not be as blissful as they seem. Read the Baller Mail below! Disclaimer: Baller Mails are submitted by our readers and are protected by federal statute 47 U.S.C. 230. BallerAlert.com can not confirm 100% accuracy of any story posted.
"I believe it's time he be exposed before another girl makes this horrible mistake! Hasheem Thabeet of the OKC Thunder. Him and his girlfriend of nearly 5 years Bethany (@lovequeenbee or waterbirthbee) just had a son Prince about 4 months ago. They are this little happy family and she acts like he's the perfect dad and boyfriend. Well not only does Hasheem have a 3 year old son whom he doesn't acknowledge with Meliqua (@melpillard) but he has a 9 month old son that he doesn't claim with Asha (@lolabvalentine).

There are even rumors that there is another girl pregnant right now with his daughter! This man barely gets tick time on the court and obviously just uses his job to go city to city raw dogging any girl that will let him. He's a horrible father. His girlfriend wants to fit in with the other Thunder WAGs. But in reality she got pregnant while his 2nd bm was pregnant.

And Meliqua and Asha are not the first 2 girls he got pregnant outside of his relationship, the others just aborted the kids. Maybe his girlfriend felt left out. I can't understand why any woman would lay down and risk having babies (or catching diseases) with this man, he barely makes 1 million dollars and his career will be ending soon.

I give Meliqua the most credit because at least she got popped when he was bringing in that #2 Draft pick check. The other chicks are just plain fools. Anyways ladies if his looks don't make you avoid opening your legs for him hopefully this info will."
​

I predict this will be another Baller crying broke over child support checks soon. Mark my words!



 
Kwa level za NBA ni kamshahara ndio.

Hapa tunaongelea 1.2 millions US dollar bro, sio hela za madafu. Huo mshahara wa mwezi mmoja we mtu wa kawaida ukiupata unastaafu, unarudi Bongo kufanya mambo mengine.
 
Hapa tunaongelea 1.2 millions US dollar bro, sio hela za madafu. Huo mshahara wa mwezi mmoja we mtu wa kawaida ukiupata unastaafu, unarudi Bongo kufanya mambo mengine.

Huo sio mshahara wa mwezi mmoja, ila ni mkataba wake kwa mwaka mmoja pato atakalipwa na timu yake mpya. Marekani malipo ya mkataba huwa ni kwa mwaka mmoja na hapo nini atapata kila mechi au mwezi ni utaratibu wa timu yake itakavyopanga.
 
hakika kwa huko mbele hiyo ni pesa kiduchu.

Pesa hiyo angeitumia kwa maendelea ni kubwa licha ya kwamba baada ya makato na kodi atakachoambulia ni laki kashaa ujue kadiri ya federal tax anaangukia kwenye over 30% tax cut kwa uwiano wa mapato.

Angeacha vimwana isingekuwa tatizo, lakini sasa inasemakana ana watoto watatu kila mtoto akiwa na mama tofauti huku akiwa na msicha mwingine anayesemekana ni mimba yake. Inawezekana ni ujanja kumsingizia watoto na mimba hizo lakini wasingiziaji kuna wanaposimamia kujenga hoja. Kuna kaudhaifu kwa sisi watanzania ukishaanza kushika kitu pesa basi ni full kujiruhusu vimwana vikupanguse na kukuosha hata kidevu kisipochafuka.
 
Hapa tunaongelea 1.2 millions US dollar bro, sio hela za madafu. Huo mshahara wa mwezi mmoja we mtu wa kawaida ukiupata unastaafu, unarudi Bongo kufanya mambo mengine.


Ndio maana nakuambia kwa level za NBA sio hela.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom