We mzee Ganesh utamuweza? Anaweza kukupandishia CD za meditation na nuclear sites za New Mexico ukashangaa mwenyewe.
Mimi naona Watanzania hata tunapopata matumaini yanakuwa shortlived. Dikembe Mutombo kafanya kweli NBA, Kajenga bonge la Hospitali la mamilioni ya dola hapo Kinshasa. Sina maana kwamba Hashimu ni mali ya taifa kama wanavyosema wengine - naamini anahaki ya kuwa individual- lakini asipoangalia siyo tu atashindwa kufanya kama Dikembe, bali anaweza kuishia muflisi.
Kwenye michezo kuna kitu kama "Champs Syndrome" ambapo mwanamichezo anazungukwa na wapambe wanaomfanya aamini kwamba anaweza kufanya chochote (kama umeiona movie ya "Let's Do It Again" Sidney Poitier, Bill Cosby na JJ Walker utaona hii syndrome at work.
Hasheem si mara ya kwanza kujiingiza katika bar brawls, alishawahi kuingia katika fracas katika ma club NJ, na hiki ki attitude cha "mnanijua mimi ni nani"
I am sorry, but if you have to ask that question, they either don't know you or don't care.
You can take a kid out of the ghetto, but you can't take the ghetto out of the kid.
Kama hajapata handlers, counselling na pengine hata therapy anaweza kuwa a has been quicker than you can say Manute Bol.
Nakumbuka zile meditation zake zilikuwa ndefu kweli kweli halafu sikuwa naelewa kitu.
By the way hilo jina Ganesh ni la miungu wa kihindi.
Kuhusu Dikembe, na sikia jamaa ni Doctor by profession.
Hiyo movie sijaiona ila nai-download sasa hivi.
Kwa mara ya kwanza wakati Hasheem amekuja toka US,
niliacha shughuli zangu zote na kwenda pale kwenye uwanja wa chuo kikuu(UDSM) ailikokuwa akifanya mazoezi ili nikamuone.
Nilikuwa naamini na bado naamini kuwa inspired na great people.
Baada ya mazoezi jamaa(Hasheem) alisema "wale wanaopenda kupeana mikono na mimi ili kutakiana heri na tupeane mikono".
I loved that opportunity cause I valued him as any NBA player ambaye akija hapa(bongo) kwenda kumuona watu watatozWa hela na watatoa,
Sasa kwanini mimi nisijivunie kijana mwenzangu(mbongo).
Ila kwa swala la kugombana na kupigana na T.I.D kwa kweli limenisikitika sana.
Pamoja na hayo inabidi tumsamehe kwakuwa yeye pia ni binadamu kama wengine.
Inabidi ajifunze sasa kupitia makosa yake lakini na sisi pia tujifunze kipitia yeye.